Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.

Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Mnaachana kama mke au mpenzi tu mkuu?
 
Kwa uzuri huo, si atakuwa ameshaolewa sasa hivi?
Inawezekana maana nimepotezana nae mda itakuwa wahuni washaweka ndani maana mi nilimwambia mambo ya kumuoa akasema mpaka amalize chuo ndio atafikiria swala hilo maana ilikuwa anasoma diploma ya pharmacy.
 
Kama kaolewa ni heri, maana wachezeaji ni wengi
 
Ukijaribu kuangalia vizuri, utaona hii dunia sasa imejaa watu wenye emotional Virus.
Yaani virus wamefuta kabisa file la hisia mpaka mtu hashikiki, haumiziki, na hata hasononeki.

Kwao mapenzi si commitment, ni kama Netflix free trial, ikisha wiki moja, unsubscribe, halafu life inaendelea kama kawaida.

Wana dunia wapo kasi.
Ibn Unuq
 
Hiyo kawaida sana mkuu. Mbona wanawake wapo wengi sana mkuu; wengine hata hawahitaji kutongozwa....ukimkonyeza tu, umet0mber bila shida. Maisha ya sasa raha sana.
Ngono imekuwa rahisi sana ndiyo maana wanaume hamuumizwi na mapenzi tena
 
Ukijaribu kuangalia vizuri, utaona hii dunia sasa imejaa watu wenye emotional Virus.
Yaani virus wamefuta kabisa file la hisia mpaka mtu hashikiki, haumiziki, na hata hasononeki.

Kwao mapenzi si commitment, ni kama Netflix free trial, ikisha wiki moja, unsubscribe, halafu life inaendelea kama kawaida.

Wana dunia wapo kasi.
Ibn Unuq
Hatari sana mkuu
 
Back
Top Bottom