Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

asononeke kwa ajili ya Nini,kwani mama yako huyo,yaani Malaya asononeke umemuacha au kakuacha huyo Malaya tu piga tambaa boya wewe
 
Mh! Sasa kwanini asingeanza kusema yeye jamani
Mwanaume kumwambia mwanamke tuachane huwa ni ngumu sisi tunakupiga matukio utajiongeza alafu badae tukitaka kurudi tunarudi kiulaini si umeona mwamba uyo ata namba yako hajafuta unaona status zake akikutaka fasta anakuvuta tu.
 
😂😂siwezi kurudi, mimi huwa sirudi nyuma
 
Jy
Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.

Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Yamkini ww ulimchosha na tabia zako
 
Nikikumbuka jinsi nilivyomganda yule mama kabla ya kuamua finally kukubali aende , aaah najiona fala sana. Yan mpaka magoti nikapita mbele ya bara la kata 😂.
Halaf baraza lilijaa wanawake tuu na yeye ndio kaniburuza kunipeleka huko halaf nampigia magoti arudi home tulee watoto halaf yeye akagoma! 😂😂😂.
Hivi yale mambo kweli ndio uwafanyishe vijana hawa wa leo kabisaa? Hawawezi!!!!
Mzee wangu wee umepona kichaa kabisa.

Sisi bado hatujapona
 
Back
Top Bottom