Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.

Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
"Akikukosea usimsamehe na sisi tunakutaka."
 
Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.

Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Lakini kwanini uumie na response ya mtu usiyemhitaji?
Humtaki, kakubali anaendelea na maisha yake!

We unaumiaje sasa?
Au ilibidi agaregare ndo uone umempa muacho mmoja saaaafi!?
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Ndiyo ilibidi aomboleze
 
Mbona hatari sasa hii, si mtatuletea magonjwa
Ndiyo maana yake, watu hawaogopi tena magonjwa...zamani ukisikia fulani ana ukimwi unamuogopa Iła sasa anaonekana shujaa na hata akitongoza anakubaliwa na kupewa mzigo, hela zako tu. Wenyewe wanakuambia ukimwi tunaishi nao tu kama malaria na uviko dawa za kufubaza si zipo.
 
Back
Top Bottom