Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Jamaa alichofanya ndio kitu sahihi he destroy your ego because a lot of you woman have ego,kakuonyesha kwamba anaweza kipata mwanamke mwingine you just need attention from him ,wanawake WENGI WANAOPENDA kucheza na akili za wanaume na jamaa kaonyesha he don't want games ,you say ooonh hata ajanibembeleza !!!shame on you
Nimesikitika sana, wanaume mnapenda kuteteana sana ila nina imani ntapata aliye bora kuliko yeye
 
😂😂 Daaah darasa huru Ili aisee
Hahahaha hatare sana,

Fanya tafiti nyingi waliopo kwenye ndoa wengi wanakuambia ni sababu Nina watoto, mwingine dini, mwingine anaogopa ataonekana vipi na sababu nyingi Ila mwisho wa siku ni wabaki kuilinda ndoa na kuvumilia hakuna namna wakiamini kifo kitawatenganisha😂
 
Dizasta Vina mbnaa alisema ndoa ni ngumu ndoa ni sumu jmn 🤕🤕🤕
 
Back
Top Bottom