Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Muhim sanaa
Mimi wa ujanani aliniacha kwa dharau sana sema hakunisumbua sababu hatukuwa na Mali za kusumbuana (ila alibeba Kila kilichokuwa ndani akaniachia kitanda tu) nikasema nenda, kama utani vile mpaka sasa imebaki historia,. Alitumia njia nyingi kujipenyeza ili arudi lkn wapi! Nilikaa kisela mwaka mmoja nikaoa kitoto kibichi nikawachukua wanangu mpaka sasa maisha yanaendelea na shemeji yenu kanizalia wengine wawili maisha yanasonga. Ila bro kuachana na mwenza mliekaa nae kwa kipindi kirefu halafu mnawatoto ni kitu mbaya sana kidogo initoe kwenye mstari!
 
Nikikumbuka jinsi nilivyomganda yule mama kabla ya kuamua finally kukubali aende , aaah najiona fala sana. Yan mpaka magoti nikapita mbele ya bara la kata 😂.
Halaf baraza lilijaa wanawake tuu na yeye ndio kaniburuza kunipeleka huko halaf nampigia magoti arudi home tulee watoto halaf yeye akagoma! 😂😂😂.
Hivi yale mambo kweli ndio uwafanyishe vijana hawa wa leo kabisaa? Hawawezi!!!!
Mkuu katika ule uzi wako nilicomment kua,

"Achana na huyo Mwanamke,hii hali ya kumbembeleza ndio inazidi kumpa kiburi na kukudharau,ipo siku utakuja kujicheka na kujutia kwa unavyombembeleza"

Hope now you are ok Bro.
 
. Ila bro kuachana na mwenza mliekaa nae kwa kipindi kirefu halafu mnawatoto ni kitu mbaya sana kidogo initoe kwenye mstari!
Nakubaliana na wewe kabisaa. Hata mimi almanusura nitoke kwenye line. Mungu fundi sana sanaaaa. Mipango yake juu mtu wake ni miaka 100 mbele. Nimeshuhudia hili. Aaah Mungu fundi bwana
 
Options zimekuwa nyingi sana mitandao imesogeza umalaya karibu zaidi Unakuta mtu ana magroup ya stage zote alizowahi kupitia katika maisha yake

Group la shule ya msingi , Group la 0 level/ A level group la Uni Bado group la kazini na kote huko ana ma-ex !!! Can you imagine!?

Bad enough ana experience ya kutosha sana ktika mahusiano, amesha Toka na wanawake/wanaume hamsini Moyo umeshakuwa kama jiwe do you think utamfanya nini mtu kama huyo
Hili limeniumiza sanaa
 
Mkuu katika ule uzi wako nilicomment kua,

"Achana na huyo Mwanamke,hii hali ya kumbembeleza ndio inazidi kumpa kiburi na kukudharau,ipo siku utakuja kujicheka na kujutia kwa unavyombembeleza"

Hope now you are ok Bro.
Yeah. Na niliuzingatia, na ndio maana nikakubali mahakamani kuwa "is okay, lets end it here".

She ia very bitter now, hata mnapojikuta masuala ya watoto yamejitokeza na mntakiwa kuwasiliana. She is too angry bila sababu za msingi. Huwa namshangaza
 
Moja ya sifa kuu ya Mwanaume anayejielewa ni kua na msimamo na kutoyumbishwa,

Mwanamke akitaka muachane ukambembeleza,tambua kua unamfungulia njia ya kukudharau zaidi na kujiona kua yeye ni wa thamani kuliko wewe,au wewe unamuhitajia zaidi kuliko anavyokuhitajia,

Uanaume ni kua na msimamo na kujiamini,pia kutokurudi nyuma.
 
Back
Top Bottom