Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Mim kuna mmoja nilimwambia atafute mtu,kweli bhana akatafuta kimya kimya siku moja nikawafuma usiku wanaenda maghetoni kulana,nikachukulia poa

Nimefika gheto,moyo ukaanza kuniuma,nikamtumia sms kimya akajibu kesho yake saa 6 nikaamin kweli kitu imechapwa,niliteseka sana moyo uliniuma mno mpaka nikataman anifanye japo spare tyre

Mjinga yule aligoma hata kukutana na mim kwa wakat huo hata nipoze moyo kwa kuongea nae

NIkamaliza mwezi mzima wa mateso nikaanza msahau mara ghafla yeye tena ndo akaanza nisumbua,na mim nikaanza kumgomea kukutana nae ila kisiasa,ila akitaka hela namtumia

Yaan mpaka leo penzi limeisha hvyo,ingawaje tulkuwa tunapendana sana sana
Pole sana mkuu, na wewe kwanini ulimwambia atafute mtu mwingine au alikuwa ana red flags nyingi?
 
Nihonge mkinga? 😹
Tafuta pesa inasaidia kuona mapenzi km burudani sio mateso..!!
Nikataka nishangae ebooo😂😂 hapa ndiyo nipo nazitafuta, mapenzi ndiyo nishayafuta tena, nikija kuzipata mimi ndiyo ntakayekuwa nachagua wa kuwa naye
 
Aliyegundua pesa anajizidishia tu nafasi ya kujitafunia bikra 72 wenye macho makubwa kodo kama goroli na mito ya Heineken tele peponi kwa kuumbua unafki wa Ke kuwa "No money no honey"... Duuuh 🤔🙄

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Huko umefika mbali mkuu
 
Nikikumbuka jinsi nilivyomganda yule mama kabla ya kuamua finally kukubali aende , aaah najiona fala sana. Yan mpaka magoti nikapita mbele ya bara la kata 😂.
Halaf baraza lilijaa wanawake tuu na yeye ndio kaniburuza kunipeleka huko halaf nampigia magoti arudi home tulee watoto halaf yeye akagoma! 😂😂😂.
Hivi yale mambo kweli ndio uwafanyishe vijana hawa wa leo kabisaa? Hawawezi!!!!
Bro hadi magoti ulipiga, pole sana.
 
Bro hadi magoti ulipiga, pole sana.
😂😂😂
MKuu hakuna kitu sikufanya kuinusuru familia. Hakipo. Imagine magoti mbele za watu..
Nakumbuka mwenyekit wa Baraza yule manzi akasema "aisee wewe (akamtaja jina ex yf) huyu kaka mbona anakupenda namna hii , kwan kakufanya nini mpaka mkafika hapa? Maana katika madai yako yooote tuwe wakwel hKuna la maana kukufanya upewe form no.3 ya kufungua shauri la kuvunja ndoa!. Wewe tuambie tu kama kuna mtu wa tatu kaingia hapo kati ndio anakuvuruga.😂
 
Ila mwamba kaondoka na dignity 👍 huoni mpaka umekuja kumfungulia uzi? Angekulilia ungekubali ila ungemdharau kuanzia hapo.
Huyu ni jeuri, naona ina msumbua sidhani kama atapata mwanamke atayemvumilia kama mimi
 
  • Nimeshagundua maisha ni mafupi.
  • Nimeshagundua mim niwasamani, inabidi nijipende niwe na furaha yangu nasio kutoka kwa mtu.
- Nimejifunza kutokana na maumivu yaliyo pita.

Nastakuja kuumia tena kamwe wala kung'ang'ania mtu alienichoka.
Huwa tunaumia mara moja tunapata funzo.
 
Back
Top Bottom