tatizo hajantafuta toka jana
Sasa si utaje jina lako?????????????? Mbona unaleta mapenzi ya SECTRETO DE AMORsa ningemjibu nan,wakat nimejbu mpenz wako anataka nimtajie jina afu mnasema hamna matatizo
hivi magufuli anaelewa ana mizigo kama hii nchini mwake?ni mpenzi wangu na nampenda sana dats naumia
umeyatafuta mwenyewe sasa nini kinakuuma? na hata hivyo, amekuuliza we ni nani hujajibu amakekutafuta hujarespons calls na msgs zake unataka nini tena? mapenzi ya kitoto kabisaaaaa
Nahisi umewazidi umri hawa....
....sasa dogo wewe si ndio ulimwambia uko bize, utamtafuta baadae??? ....we ndio una kosa hujamtafuta. Hebu acha kulialia na kinyongo.
Mtumie msg saivi and everything will be okay....
Sasa si utaje jina lako?????????????? Mbona unaleta mapenzi ya SECTRETO DE AMOR
umeyatafuta mwenyewe sasa nini kinakuuma? na hata hivyo, amekuuliza we ni nani hujajibu amekutafuta hujarespond calls na msgs zake unataka nini tena? mapenzi ya kitoto kabisaaaaa
Uwe peke yako wewe ni mungu? tafakari
hapatkan mkuu
ukitaka demu wa peke yake kata mgomba lala juu.
Hapo ndipo unapokosea....Ishi nae kwa akili... refer maandikokwan ye anijui ad nitaje jna lang!
we hilo tu linakuchanganya...duh basi una miaka 12...mapenzi huyajui we jua kuna mwingine wa kuzugaila we una nafasi yako na unaweza wapiku wengine...kwani we uzugi kidogo...acha hizo huyo kampe mambo sasa makali akolee kwako...
Calm down....jipe muda everything will settle. Labda simu haina chaji, labda nae analia kama wewe etc.!!!....time will tell