Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

tatizo hajantafuta toka jana

....sasa dogo wewe si ndio ulimwambia uko bize, utamtafuta baadae??? ....we ndio una kosa hujamtafuta. Hebu acha kulialia na kinyongo.
Mtumie msg saivi and everything will be okay....
 
Hivi bado hamjaanza masomo????????????? Please lecturers wawekeni bize hawa vijana
 
umeyatafuta mwenyewe sasa nini kinakuuma? na hata hivyo, amekuuliza we ni nani hujajibu amekutafuta hujarespond calls na msgs zake unataka nini tena? mapenzi ya kitoto kabisaaaaa
 
umeyatafuta mwenyewe sasa nini kinakuuma? na hata hivyo, amekuuliza we ni nani hujajibu amakekutafuta hujarespons calls na msgs zake unataka nini tena? mapenzi ya kitoto kabisaaaaa

Nahisi umewazidi umri hawa....
 
ukitaka demu wa peke yake kata mgomba lala juu.
 
punguza wivu aisee hayo mambo ya kawaida sana hata biblia ina sema enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili
 
we hilo tu linakuchanganya...duh basi una miaka 12...mapenzi huyajui we jua kuna mwingine wa kuzugaila we una nafasi yako na unaweza wapiku wengine...kwani we uzugi kidogo...acha hizo huyo kampe mambo sasa makali akolee kwako...
 
....sasa dogo wewe si ndio ulimwambia uko bize, utamtafuta baadae??? ....we ndio una kosa hujamtafuta. Hebu acha kulialia na kinyongo.
Mtumie msg saivi and everything will be okay....

hapatkan mkuu
 
umeyatafuta mwenyewe sasa nini kinakuuma? na hata hivyo, amekuuliza we ni nani hujajibu amekutafuta hujarespond calls na msgs zake unataka nini tena? mapenzi ya kitoto kabisaaaaa

thanks
 
we hilo tu linakuchanganya...duh basi una miaka 12...mapenzi huyajui we jua kuna mwingine wa kuzugaila we una nafasi yako na unaweza wapiku wengine...kwani we uzugi kidogo...acha hizo huyo kampe mambo sasa makali akolee kwako...

kula like mkuu,mependa hii
 
Back
Top Bottom