Nampendamilele
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 427
- 653
- Thread starter
-
- #61
Hao ndio size yangu mkuuππ
37?
Huo umri bado atakufanya sidechick ,achana na hao wazee shauri yako
Kumorneena zakoπ€§π¬π€₯π‘
Njoeni.Mh' π³
πππ Kabla sijafungua Uzi nilijua tajiri anataka aache urithi wake kwa naniπ€£π€£π€£π€£π€£ sema amechelewa, nenda kwenye ule uzi wa Risasi yangu ya mwisho ukaone kinachoendelea.
Sema ile siku nimefungua uzi wa kutaka manzi humu, wewe ndiyo binaadamu pekee uligumdua nimemlenga naniπ€£π€£
Sema ukataka kuharibu π
HapendekiMpende hivyo hivyo milele
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hapa unajionesha kuwa wewe ni binti ila huko nyuma ulishajionesha wewe ni mwanaume
Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu.
Nimetembea na mchumba wa Marehemu binamu yangu
Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani.. Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu. Juzi wakati tunapiga story huyu mwanamke akaanza kuniuliza mimi mtu wa wapi i mean...www.jamiiforums.com
Kabla ya hii napo ulilalama:
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao...
Msaada tutani wakuu
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao...www.jamiiforums.com
Mimi nipo single karibu nikupokeeHaya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu..
Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo
Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo
Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama kila mtu ana bebi wake ππ
Anyway hapa sina hata hela na huyo nyangβau kanichunia na mimi maisha ya kujipendekeza siyawezi especially nikishajigundua kuwa ni mchepukoziii
Umenikata vibe,sina budi kukaa bench kwanza, that's a serious emotional damage and it's a punishable offense BTWNjoeni.
Kitu mnatoπ
Badilisha chanel kama haisomi hapoHapendeki
Hio ndio yenyeweMh' π³
No comment ππ
Si ulitaka kumsanua yule dogo, angejua kwamba uzi nimemfungulia yeye angezidi kuringa.πππ Kabla sijafungua Uzi nilijua tajiri anataka aache urithi wake kwa nani
ππNilizingua nini
Pole sana.Backups zipo mkuu ila kenyewe ndio kalikuwa kanaeleweka π£π£
Kutiana nyege tu usiku huu na simba imefungwaNjoeni.
Kitu mnatoπ
hapa sina hata hela na huyo nyangβau kanichunia
Hv Simba mkifungwa huwa mnakuwa hampati hamu ya kufanya mapenzi?Kutiana nyege tu usiku huu na simba imefungwa
Sawa ila I hate saying I told you soHao ndio size yangu mkuu
DaahπππSi ulitaka kumsanua yule dogo, angejua kwamba uzi nimemfungulia yeye angezidi kuringa.
Inategemea na mwanamke mwenyewe aliepoHv Simba mkifungwa huwa mnakuwa hampati hamu ya kufanya mapenzi?
Una uza? Shilling ngapi kwa dakika?Hio ndio yenyewe