Mapenzi yanaumiza sana haswa kwa sisi wenye mioyo midogo

Tuma wasifu wako watu wakukufaa ukianza na mimi dm
 
Jamaa kachoka kukamuliwa kama Ng'ombe wa maziwa.
Maana mwishoni, umesema huna hela, ila unamwita tajili aliyekuwa anakupa kula nyang'au.
Sasa sijui kwake ulikuwa na hisia au ni njaa tu zilizokuwa zinakuweka
 
Tangazo limekaa kimkakati sana😎
 
Sema ninamiliki chombo humu jf ningekusaidia
 
Njoo pm tuyajenge Tuanze maisha mapya mm na ww
 
Usingeweka neno HELA ni asubuhi tu ningekutongoz#
 
Tulizana tu, ipo siku na wewe utapata mnyonge wako umchezee umuache kwenye mataa, maisha ni mzunguko, usihofu.
 
Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…