Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

Mkuu dhibiti akili yako hakuna atakaekuja kuumiza labda umruhusu.Learn the art of letting go itakusaidia.
 
Wanawake wengi wao wamejawa na tamaa ya pesa
Na wanaume wengi wao wamejawa na tamaa ya ngono
Chamsingi tafuta pesa fanya ibada ishi maisha yako.
Cha kushangaza kuna wale ambao tunawapenda hivyo hivyo bila kujali wana pesa au hawana,wana Mali au hawana,yani tunawapenda jinsi tu walivyo bila kuangalia madhaifu yao,lkn Hawa ndio wale ambao hata hawaelewe na hawathamini upendo wetu kwao,wanatuona wajinga na hatuna pa kwenda,life is not fair at all
 
Mi naamini hakuna mwili uliokosa nguo au maiti iliyokosa kuzikwa itafika muda utapata tu mtu sahihi na utajiuliza alikuwa wpi muda wote ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…