Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #101
Mkuu Wabe ,umepotea sana!.Pasco Long time friend
Okello atakumbukwa sana, lakini lazima waafrika na hasa watanzania tuwe na tabia ya kuandika historia
Okelo utamkuta uganda, kenya na Tanzania kwa issues mbalimbali
Japo ni aibu lakini, seems he was an expert for those dangerous missions na pengine alipewa ujira wake tu na kuondoka
Ni kweli uki dig deeper wenyeji wa pemba na unguja wametokea bara lakini in that community automatically John Okello alikuwa excommunicated
labda tuulizane kwa nini aliondoka Zenj??
Kuna vitu kuhusu Okello havitajwi, baada ya kufanikisha MAPINDUZI MATUKUFU ya Zanzibar, kwa kutumia dawa za miti shamba za wana Mau Mau, ile tarehe 12 January 1964, siku 5 baadaye Okello alishuka bara tarehe 17, January, 1964, kesho yake tarehe 18, January 1964, jeshi liliasi Juliasi alitoroshwa kwa mtumbwi huku kavishwa baibui!, Okello was lineup kwenda kutangaza!, Thanks to Brits walizima jaribio lile, Karume akashauri Okello akirudi Zanzibar auwawe, Nyerere akamgomea!, hivyo akarudishiwa Airport, akarudishwa bara, akapelekwa kwao Uganda , baadaye alijipenyeza kurudi Kenya ku taka kuwakomboa kina Dedan Kimathi,
Pasco
