Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Kwa ufupi Zanzibar hakuna baba wa taifa wala mama wa taifa ,usemi huo hawanao WaZanzibar tena msijilete
kimbelembele kuwachomekea ,hayo ya baba wa taifa na mama wa taifa ni hukohuko upande wapili.

Ok..mkomboziwenu..Mr.Okello....na Makanisha yaliyowanunua kwa waarabu ili muwe huru..leo mnawaua na kuwakana kuwa hamkuhitaji sadaka ya wakristu kuwekwa huru.

Mna laana nyingi..Hata bara hamjapenda hata kukiri msaada wao kwa maisha yenu ya kila siku.
 
yeye alikua askari wa kukodiwa.mercanery.....hana utambulisho....ni mpiganaji wa kikristo aliekodiwa kwa niaba ya kanisa kuumaliza uislam zanzibar...haya mengine ni porojo tu...

Wewe unaamini kuwa uislamu ni dini dhaifu sana ambayo kila mkristo anaweza kuimaliza kirahisi tu.
 
Wewe unaamini kuwa uislamu ni dini dhaifu sana ambayo kila mkristo anaweza kuimaliza kirahisi tu.

Nchi zote za east africa wakiwemo wamakonde walishiriki uvamizi huo. Sasa wewe tafakari nchi ndoga ya watu laki 2 kuhujumiwa na nchi 3 za watu million 40
 
we ni mwarab nin? amekuuliza babu zako wa kiarab walioleta ustaarab zanzibar? ha ha ha....ukikosa elimu mtu sijui unakuaje? leta hoja na si matusi na udini. huna hoja acha watu wenye akili wajadili. pole kwa kuuliwa babu zako.

ndugu yangu acha thropology ambzo mwenyewe unashndwa kuzfanyia idequetion,unaniuliza mm kuwa ni mwarabu simply b,couse nimesema mume2ulia babu ze2,hyo ndg yng ni self intermesity ya m2 hupaswi kuijua then unaashiria kwmb mm sina elimu hlo pia ni self intermesity haikuhusu pia,mm ndg yng sina elim kubw ila umr wng unaniruhusu kusoma zaid,binafsi nina master ya law with international law na sasa hv nafanya phd ya human physycology,ili niweze kudeal na watu wenye iq ndgo km wew,ndg nnach kufndsh jibu hoja ach kuinglia maisha y m2 binafsi
 
ndugu yangu acha thropology ambzo mwenyewe unashndwa kuzfanyia idequetion,unaniuliza mm kuwa ni mwarabu simply b,couse nimesema mume2ulia babu ze2,hyo ndg yng ni self intermesity ya m2 hupaswi kuijua then unaashiria kwmb mm sina elimu hlo pia ni self intermesity haikuhusu pia,mm ndg yng sina elim kubw ila umr wng unaniruhusu kusoma zaid,binafsi nina master ya law with international law na sasa hv nafanya phd ya human physycology,ili niweze kudeal na watu wenye iq ndgo km wew,ndg nnach kufndsh jibu hoja ach kuinglia maisha y m2 binafsi

Wewe ndio msomi wa kiZanj bar mtupu kabisa kichwani,kama babu jinga wenu Mohammed Said...unaandika kama mtoto wa form two,hii ni elimu zanzibar university lazima...Think tank za waZnz hizi..Kwa mtindo huu sijui mtakuwa taifa la namna gani kama sio Somalia mpya.
 
Last edited by a moderator:
Zanzibar ni nchi ya kiislamu haiwezi kuwa na haina baba wa Taifa., Nchi za kikiristo na kikafiri ndio hupenda kumtukuza mtu mpaka kumuita baba wa taifa na hupenda kutengeneza hata katuun zake (sanamu) na kuweka majumbani mwao wakaanza kuziabudu kumuomba baba wao wa taifa ili awatatulie matatizo yao kama ilivyo Tanganyika na Julius Nyerere.,

Ndio mana siku ya kifo cha Nyerere wako waliozimia na wengine kujihisi hawako salama kwa baba yao amekufa., ingawa baba wenyewe hakuwa na gerentee ya maisha yk mana alisema angemuwahi rais wa 2010 kwa sababu anakula vizuri ana afya ya kutosha kumfikisha huko lakin ndio ivyo tn mashine zikagoma., ni itikadi za kikafiri tu.
 
ni john okello

Nchi za kikafiri ndio huwa na baba wa taifa kama Tanganyika na Julius Nyerere a,k,a mchonga meno., Zanzibar ni dola ya kiislam haiwezi kumuabudu mtu kama walivyo Tanganyika leo., naamini unayo picha ya Julius nyerere chumbani kwako unaiomba ikutatulie matatizo yk., ndivyo ukiristo jambo dogo munalifanya kubwa na kuanza kulipindia magoti., pole sana
 
Tunapoelekea kwenye kilele cha sherehe za Mapinduzi ningependa tujiulize swali hilo ambalo limekuwa na mkanganyiko sana kutokana na Itikadi mbalbal za watu.

Je, baba wa Taifa la ZANZIBAR NI NANI KATI YA HAWA?
(a)John Okelo
(b)Abeid Karume
(c)Sultani bin Said

Ni Abeid Amani Karume. TUnachopotosha ni kudhani kwamba aliyeongoza mapambano, Okello, ndiye aliyekuwa nyuma ya mpango mzima (aliyeratibu).
 
Hivi wewe unaakili sawasawa? Hata kama mamayako hakukupa malezi unapaswa kujifunza hata kutoka kwa majirani. Udini unakusumbua wewe juha. Huwezi kuandika bila kuwataja wakatoliki? Mbona hospitali zao unakwenda kutibiwa? Mbona shule zao mnasoma?

ndio nini sasa ulichoandka?wakatoliki mikono yao imejaa damu ya wazanzibari,na ukitaka kuyajua haya kasome kitabu cha papa john paul kilichoelezea mapinduzi ya znz na mchango wa kanisa katoliki,kinaitwa (catholic in africa) nanukuu "tumeua waarabu wengi na viongozi wa juu wa dini ya kiislam ili kuudhoofisha uislam na hatimaye ukristo kushika hatamu,hatukuupenda utawala wa kisultani hasa kutokana na kulazimisha raia wake kufuata uislam km sheria rasmi ya nchi,tukatoa msaada mkubwa kwa nyerere ili autokemeze uislam,na tukafanikiwa na bado tunaendelea kufanikiwa......)uk,59 topic zanzibar revolution,na hiki kitabu kimefichwa,mm nina rafiki yng n kiongoz w kanisa la anglican hpa uingereyza nd alinipa hz info,tukaenda mpaka vatican ktk library ya the great 2kajtmbulisha mimi nktmbulish km mwanafunz w royal university 2karuhucwa,na hiki ktab hko tz klikuwepo nyerere akakpga marufuku,mengne ntawaelezea bdae now nko busy kdg hpa bermingham,so catholic is k......
Angalizo:nimefasiri hzo nukuu hpo juu for public interest km alivyosema tundu lissu kwa court
 
John Gideon Okello ndiye mkombozi wa watu wa Zanzibar, na huu ukweli ma alqaeda wa zenji hawataki kuusikia kabisa masikioni mwao, kisa jamaa mkristu
 
Wewe ndio msomi wa kiZanj bar mtupu kabisa kichwani,kama babu jinga wenu Mohammed Said...unaandika kama mtoto wa form two,hii ni elimu zanzibar university lazima...Think tank za waZnz hizi..Kwa mtindo huu sijui mtakuwa taifa la namna gani kama sio Somalia mpya.

siwez kbshama n vilaza hasa ktkana n elim yng,nimeandk hv kw ajili y kusave muda,acha kuingilia self intermesity y mtu bdla yake jbu hoja,mm sjasoma znz ht darasa moja elim yng yote nimesoma nje nimeanza dubai na sasa nko uk nafanya phd so ongea mengne yng hayakuhusu
 
Last edited by a moderator:
John Okello ni nani?? Na kwa nini historia na mchango wake kwa taifa unafichwa fichwa?
 
Mkuu usipoteze energy yako bure! Huyu Matembere hana hoja! Hizo kasumba zao za Kuchukia waarabu na uoga wao dhidi ya Warabu hautushuhulishi kwa lolote!


Mkuu Shukran!

Wajua wafanzacho hawa jamaa takriban woote humu-JF na kwingineko,khasa inapokuja khabar za Wazanzibary,Waarabu au Zanzibar History...it's typical stereotypes,prejudices coupled with loads of colonial connotations... which in many civilized societies can amount to Racism and/or criminal charges!

Forgive me if I'm wrong,but I suspect most of these misukule,enjoy their silly lives in primitive societies...where crimes such as racism are tolerated daily and at times socially acceptable!? Dah! Such a disgrace and disgusting fact!

Ahsanta.

CC; Msu-k.u.m.a Paskali aka Pasco
 
John Okello ni nani?? Na kwa nini historia na mchango wake kwa taifa unafichwa fichwa?


Sababu yule Mwanaharasha maluuni wa Kiganda alojiita ati "Field Marshal" Okello... hakuwa na mchango wowote kwenye Taifa letu hili!

Zaidi ya kutoka kuwa mchoma matofali/mwajiriwa wa Mwarabu na ule unyama uso kifani kwa kusaidia kuratibu/kugawa mapanga,mashoka,visu,marungu na silaha nyinginezo zilofanikisha mauaji ya halaiki,ubakaji,wizi,udhalilishaji na mangineyo mangi mno kwa maelfu ya ndugu zetu na Wazee Wetu wa Kizanzibary wasiokua na hatia yoyote ile... pale Unguja 1964! Dah!

Ahsanta.
 
Tafuteni kitabu chake alicho andika mtajua katumwa na nani. Yeye ndio jawabu.kwa uchache amesema ametumwa na yesu kuupindua uislam zanzibar lakini wakristo wenzie walim betray . Kwa mujibu wa okelo mapinduzi yalikua ni crusade na miaka ya mwanzo ya mapinduzi masheikh wengi waliuliwa na kufungwa . Elimu ya dini ya kiislam ilipigwa marufuku . Viongozi wakidhihaki Quran hadharani.
Ilikua pindua zanzibar na dini yao.

Heee, kumbe?
 
Back
Top Bottom