Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Kwa ufupi Zanzibar hakuna baba wa taifa wala mama wa taifa ,usemi huo hawanao WaZanzibar tena msijilete
kimbelembele kuwachomekea ,hayo ya baba wa taifa na mama wa taifa ni hukohuko upande wapili.
Ok..mkomboziwenu..Mr.Okello....na Makanisha yaliyowanunua kwa waarabu ili muwe huru..leo mnawaua na kuwakana kuwa hamkuhitaji sadaka ya wakristu kuwekwa huru.
Mna laana nyingi..Hata bara hamjapenda hata kukiri msaada wao kwa maisha yenu ya kila siku.