Willis Otieno: Je, Jaji Mkuu anaweza kuwapa baadhi ya majaji kazi ya kupokea mawakili, wengine kupokea vyombo vya habari kisha kubaki na Majaji wawili kufanya uamuzi na kuwaambia Wakenya "Huu ni uamuzi wa mahakama kuu ya Kenya?". Ndivyo alivyofanya Chebukati.
Jaji Njoki Ndung'u: Je, idadi ya wapiga kura Kakamega na Mombasa ilimuathiri Raila Odinga pekee au MCA pia anaweza kusema aliathiriwa na kughairishwa kwake?
Hii kitu haiwezi tokea tz.yaani ndo itokee 2025 bibi atalazimika kwenda visiwani kupumzika yeye kama yeye hana ubavu sema tu ile nguvu ya pembeni ndo shida.
DCJ Mwilu: Je, tunapaswaje kumtangaza Raila au Ruto kuwa washindi kwa kutumia matokeo yale yale ya uchaguzi ambao walalamishi wanasema ulivurugwa na IEBC?