Kwanini wasipokee dsm au kilimanjaro
Naona mwanza mwanza sana tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna maelezo yoyote jinsi ndege ilivyoachiwa? tumelipa au tumesamehewa na kama tumelipa ni kwamba deni tumemaliza au kuna hatari ya kukamatwa tena kwa kutoheshimu makubaliano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nyingine itapokelewa KIAKwa hiyo Rais angekuwa yupo Kigoma, basi mapokezi yangefanyikia Kigoma?
Kwa nini nayo isipokelewe Dar, na Makamu wa Rais? Au huyo Samia ni BOYA tu?
Mimi sikubaliani kabisa na hizi sherehe wakati watoto mashuleni wanakaa chini.
Mimi sikubaliani kabisa na hizi sherehe wakati watoto mashuleni wanakaa chini.
Ni aibu. Tunachoreka sana. Donor kantri msururu wa viongozi kwenda kupokea kakunguru kamoja.Bado tu hatujazizoea hizi ndege jamani mpaka serikali nzima inaenda? Ni jambo jema ununuzi wa ndege ila waziri wa uchukuzi tu angetosha kuipokea wengine wakafanye kazi zingine maana ni kuongeza matumizi bila sababu,Rais,Pm,Spika etc hawa wote lazima wasafiri na misafara au ndege kwenda huko,maandalizi na mengineyo
This is too much kwakweli.........
Uzuli wa mzee baba huwa hajaligi maneno yenu yy anafanya Yale anayoona yanafaa...Kwa hiyo kila ndege ikija ni lazima ipokelewe na Rais?, Hivi ni vichekesho kwa kweli
Kila kitu kinapelekwa Mwanza au kanda ya ziwa kwa ujumla. Ni Rais anayetumikia Wasukuma.Umeambiwa hata SGR ya kuanzia mwanza itaanza mwakani ili wakutane na hiyo ya dodoma mnasema dodoma kuna fursa hapana mwanza itakua balaa subiri uone, meli karibu tatu, daraja la bilioni 600 mwanza kumekucha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu Mzee sio mzima wallah!!!
Kila kitu kinapelekwa Mwanza au kanda ya ziwa kwa ujumla. Ni Rais anayetumikia Wasukuma.
Acha usenge basi grow upYou are extending ur stupidity, shida ni ndege kupokelewa wapi au mpokeaji?
Kila sku mnazalisha kitu kipya mmeshindwa kuhoji mamilioni ya pesa yanayotumika kwenye chama chenu kukodi kumbi za gharama alimhali wanachama mnaganga njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasimama mwenyewe uku anawafukarisha wananchi hii kwako ni sawa?Ivi ina uwezo wa kubeba abiria wangapi? Kuhusu kupokelewa na rais msishangae wakuu, ni ivi, legacy ya mh. Rais iko kweny mambo 3.
1. Shirika la ndege
2. Mradi wa umeme Stigglers gorge
3. Stg.
Stage toyote katika project hizi anasimama mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wangapi wanyonge walioletewa ndege watapanda mkuu