Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Mkulima alitimuliwa na Nyerere...hiyo 2016 umeitoa wapi?
 
Ina maana lile kundi la wahuni na watumia ruzuku za chama vibaya hawata kuwepo????
Kama walikodi ndege kwenda mwanza kwanini wasiende kupokea ndege??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balozi wa Canada - Ananyuka Kiswahili .... ….. .. ''wanasema serikali ina mkono mrefu'' ….. ...…. tafakari.
 
Kwa niaba ya Waziri mwenye dhamana ya shirika la ndege: ATC improvement from 4,000 passengers a month to 62,000. Share of the market (passengers) at the moment 73% with this new aircraft will increase to 75%. increase daily flights to Dodoma - Dar twice a day, Dar - Mwanza Kilimanjaro and Zanzibar 6 times daily. Cargo form 9 tons a month to 177 tons. End of February trips to China to start. After China then Lubumbashi trips will be next. …......

​
 
Umeongea mawazo yangu mkuu. Asante
 
Reactions: Ole
Ila matapeli Hawa maccm balaa.Et wanageuza jambo la deni kuwa ni hujuma Wakati ni HALALI KABISA wanadaiwa.Na kuongeza kuwa et Kuna watu wanahujumu!!WAONGO WAKUBWA.

Lipeni deni.

Watanzania wana akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamu wa rais SSH anasema ''wapo Mwanza kwa wiki sasa, anawashukuru watu wote wa Mwanza anasisitiza ushirikiano na anamkaribisha JPM''.
 
Haya matapeli yamelipa deni hawajashinda kesi ndio maana zile tambwe za Kina Kabudi kule sauzi et tumepeleka phd sijui wanasheriw zamu hii hakuna

Ukisikiliz vizur utaon sherehe nzim hakun aliyesema tumeshinda kesi bali NDEGE IMEACHIWA, maana yake ni negotiation ilifanyika

Chunguza utaon sherehe ime kuw centred n shirik n ndege n sio tambwe sa ndege
 
Ina maana lile kundi la wahuni na watumia ruzuku za chama vibaya hawata kuwepo????
Kama walikodi ndege kwenda mwanza kwanini wasiende kupokea ndege??

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili matope, yaani unaona kupokea ndege ni jambo kuuubwa sana eh!! Yaani tangu tupate uhuru hatujawahi kununua ndege mpaka JPM alipoingia madarakani??!! Ushamba ni mzigo! Watu waache kazi zao wakashangae ndege? Mkuu wa mkoa alikuwa anatosha kuipokea hiyo ndege.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais JPM safari za London - Mwanza zitaanza kabla ya Dar - London, Rwanda-air wameomba kutumia uwanja wa Mwanza (ikitiliwa maanani kwamba Rwandair wamenunuliwa na Qatar Airways) hivyo Watanzania walio UK sasa safari za moja kwa moja hadi Mwanza imminent …. ….. ... .(ie 8hrs direct flights to Gatwick or Heathrow) Wameomba safari zao kuanzia ie. (Bujumbura - Mwanza - London; London - Mwanza - Bujumbura)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…