Halafu et viongozi wa dini wanaomba amani!!Haya matapeli yamelipa deni hawajashinda kesi ndio maana zile tambwe za Kina Kabudi kule sauzi et tumepeleka phd sijui wanasheriw zamu hii hakuna
Ukisikiliz vizur utaon sherehe nzim hakun aliyesema tumeshinda kesi bali NDEGE IMEACHIWA, maana yake ni negotiation ilifanyika
Chunguza utaon sherehe ime kuw centred n shirik n ndege n sio tambwe sa ndege
Makosa huwa hayalipwi kwa makosa,tofautisha hilo
Kwa hiyo kila ndege ikija ni lazima ipokelewe na Rais?, Hivi ni vichekesho kwa kweli
Cha muhimu ndege yetu imerudi!
Kwa hiyo kila ndege ikija ni lazima ipokelewe na Rais?, Hivi ni vichekesho kwa kweli
You are extending ur stupidity, shida ni ndege kupokelewa wapi au mpokeaji?
Kila sku mnazalisha kitu kipya mmeshindwa kuhoji mamilioni ya pesa yanayotumika kwenye chama chenu kukodi kumbi za gharama alimhali wanachama mnaganga njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulichopanda ni kumchagua mtu mwenye ukabila. Ni kweli tunavuna matunda yake.Kutesa kwa zamu.Watanzania wengi wameona kazi anayofanya JPM na kuikubali. Wanao mpinga JPM kwa sababu wamekosa hoja na cha kusema, sasa wanaleta ukanda. Mtavuna mlichopanda.
Kutesa kwa zamu.Watanzania wengi wameona kazi anayofanya JPM na kuikubali. Wanao mpinga JPM kwa sababu wamekosa hoja na cha kusema, sasa wanaleta ukanda. Mtavuna mlichopanda.
Siyo kila kitu mtatanzania akitumie, mwisho mtasema hata mashine za kufanyia upasuaji wa moyo hapo Jakaya watanzania wote wazitumie.
Lengo siyo kupanda lengo ni zinaingiza pesa?.
Mbona mnajifanya kama hamuoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri mstaafu Mizengo Pinda - Hoja sio ndege bali ni JPM kwa kazi kubwa anayoifanya wananchi wana hamu ya kumuona na kumpa support..
Kwetu unakujua?Mtanyooka tu na ukabila mlizoea kila kitu kiende kwenu!
Mtanyooka tu na ukabila mlizoea kila kitu kiende kwenu!
Mbona huoneshi hata dalili ya kucheka ? Wewe nuna tu bhana ! Hapa kazi tu !Kwa hiyo kila ndege ikija ni lazima ipokelewe na Rais?, Hivi ni vichekesho kwa kweli
Tulichopanda ni kumchagua mtu mwenye ukabila. Ni kweli tunavuna matunda yake.
Kitavuniwa wapi hicho kilichopandwa?
Akili za kushikiwa hizi.Sasa hivi wananyooka maana vinaenda kwenu? Kwa hiyo hii kunyoosha watu lengo ni watu fulani!?
Watu wanatakiwa watoe support kwa ridhaa yao na sio kwa kunajisi box la kura, na kutumia watu wasiojulikana kutia woga na kulazimisha kukubalika
Wewe fala mbona unawashwa sanaUtakufa kwa stress CCM bado ipo sana tu!