peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Usichofahamu CCM ni familia ya JK, makamba, Nape, Mhagama , mwinyi na Samia walio baki wote nibbendera fuata upepo na wansojua kusoma na kuandika.Watu wanachoshwa na CCM
Mbona siwaoni hao watoto wa shuleNimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Lawama si umemtupia Magufuli kuwa ndio kaanzisha huo mfumo wa kutotegemea kura kubaki madaralani kwa maana kabla ya Magufuli ccm ilikuwa inategemea kura.CCM ibaki safi wakati nimesema ccm haitegemei kura kubaki madarakani?!
nyie mapimbi ndio maana nasemaga ni vigumu sana msukuma ht asome vp kuelimika na kustaarabika. Huyo mtu wenu ndio kashakufa km aliwalisha matango pori. Sermeni rais wetu ni myenyekevu, ingawa mwingine ule ujinga mlioufanya Bwanga mngejutia. Hamna adabu nyie ndio mnajua ugumu wa maisha kuliko watanzania wengine? Mama amewadekeza sana. Chato ni kijiji tu haina impact yeyote ktk uchaguzi unaokuja. kamfufueni mtu wenu arudi kuwa rais. mipopoma kweliNimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Lawama si umemtupia Magufuli kuwa ndio kaanzisha huo mfumo wa kutotegemea kura kubaki madaralani kwa maana kabla ya Magufuli ccm ilikuwa inategemea kura.
Lengo ni lile lile la kuifanya ccm kuendelea kutawala, kwahiyo kupitia Samia bibi maridhiano mna furahia kwamba 2025 atarudisha ule wizi mliouzowea?Magufuli alianzisha mfumo wa kupora mchakato wa uchaguzi, CCM walikuwa wanategemea wizi wa kura. Nadhani tofauti iko wazi hapo. Yaani ni uchafu uliokithiri mbele ya uchafu.
Mnasema hivihivi kila mwaka lakini muda ukiwadia mnaingia kwenye Ballot. Wajinga na washenzi sijui ni nani hapo sasa!!?Ccm hawategemei kura na dhalimu ndio muasisi wa tabia hiyo. Isitoshe hakuna mtu anajitambua atashiriki uchaguzi wa kishenzi.
Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm.Lengo ni lile lile la kuifanya ccm kuendelea kutawala, kwahiyo kupitia Samia bibi maridhiano mna furahia kwamba 2025 atarudisha ule wizi mliouzowea?
Bao la mkono.
Mnasema hivihivi kila mwaka lakini muda ukiwadia mnaingia kwenye Ballot. Wajinga na washenzi sijui ni nani hapo sasa!!?
Tatizo sio wapiga kura, Chadema and the likes hawakuwa kwenye ballot?Huenda hujui usemalo, fuatilia idadi ya wapiga kura kipindi cha dhalimu ilivyokuwa ndogo, na inavyozidi kushuka. Kipindi cha dhalimu ilibidi apike idadi ya wapiga kura ili kuhadaa umma kuwa anakubalika.
Ccm hawana walichopoteza lengo ni chama chao kiendelea kuwepo madarakani.Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm.
Tatizo sio wapiga kura, Chadema and the likes hawakuwa kwenye ballot?
Ila Chadema mtashiriki uchaguzi? Ingekuwa vema chama kisuse sio wapigakura..Tuliona idadi ndogo ya waliojitokeza kupiga kura boss. Japo dhalimu alilizimisha kutangazwa kwa kura 12m+, wakati wapiga kura hawakufika hata 10m.
Acha uchochezi hawa ni watoto wa shule?Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Ila Chadema mtashiriki uchaguzi? Ingekuwa vema chama kisuse sio wapigakura..
Sasa wewe mpigakura kutopiga kurs itazuia serikali kuundwa?Mimi sio msemaji wa chama, niko upande wa wapiga kura wanaojitambua. Ww kakishauri hicho chama cha cdm kisishiriki.
Sasa wewe mpigakura kutopiga kurs itazuia serikali kuundwa?