Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

CCM ibaki safi wakati nimesema ccm haitegemei kura kubaki madarakani?!
Lawama si umemtupia Magufuli kuwa ndio kaanzisha huo mfumo wa kutotegemea kura kubaki madaralani kwa maana kabla ya Magufuli ccm ilikuwa inategemea kura.
 
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.

Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.

Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
nyie mapimbi ndio maana nasemaga ni vigumu sana msukuma ht asome vp kuelimika na kustaarabika. Huyo mtu wenu ndio kashakufa km aliwalisha matango pori. Sermeni rais wetu ni myenyekevu, ingawa mwingine ule ujinga mlioufanya Bwanga mngejutia. Hamna adabu nyie ndio mnajua ugumu wa maisha kuliko watanzania wengine? Mama amewadekeza sana. Chato ni kijiji tu haina impact yeyote ktk uchaguzi unaokuja. kamfufueni mtu wenu arudi kuwa rais. mipopoma kweli
 
Lawama si umemtupia Magufuli kuwa ndio kaanzisha huo mfumo wa kutotegemea kura kubaki madaralani kwa maana kabla ya Magufuli ccm ilikuwa inategemea kura.

Magufuli alianzisha mfumo wa kupora mchakato wa uchaguzi, CCM walikuwa wanategemea wizi wa kura. Nadhani tofauti iko wazi hapo. Yaani ni uchafu uliokithiri mbele ya uchafu.
 
Mapaka😁😁😁
 
Magufuli alianzisha mfumo wa kupora mchakato wa uchaguzi, CCM walikuwa wanategemea wizi wa kura. Nadhani tofauti iko wazi hapo. Yaani ni uchafu uliokithiri mbele ya uchafu.
Lengo ni lile lile la kuifanya ccm kuendelea kutawala, kwahiyo kupitia Samia bibi maridhiano mna furahia kwamba 2025 atarudisha ule wizi mliouzowea?

Bao la mkono.
 
Ccm hawategemei kura na dhalimu ndio muasisi wa tabia hiyo. Isitoshe hakuna mtu anajitambua atashiriki uchaguzi wa kishenzi.
Mnasema hivihivi kila mwaka lakini muda ukiwadia mnaingia kwenye Ballot. Wajinga na washenzi sijui ni nani hapo sasa!!?
 
Lengo ni lile lile la kuifanya ccm kuendelea kutawala, kwahiyo kupitia Samia bibi maridhiano mna furahia kwamba 2025 atarudisha ule wizi mliouzowea?

Bao la mkono.
Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm.
 
Mnasema hivihivi kila mwaka lakini muda ukiwadia mnaingia kwenye Ballot. Wajinga na washenzi sijui ni nani hapo sasa!!?

Huenda hujui usemalo, fuatilia idadi ya wapiga kura kipindi cha dhalimu ilivyokuwa ndogo, na inavyozidi kushuka. Kipindi cha dhalimu ilibidi apike idadi ya wapiga kura ili kuhadaa umma kuwa anakubalika.
 
Tatizo sio wapiga kura, Chadema and the likes hawakuwa kwenye ballot?
 
Tatizo sio wapiga kura, Chadema and the likes hawakuwa kwenye ballot?

Tuliona idadi ndogo ya waliojitokeza kupiga kura boss. Japo dhalimu alilizimisha kutangazwa kwa kura 12m+, wakati wapiga kura hawakufika hata 10m.
 
Tuliona idadi ndogo ya waliojitokeza kupiga kura boss. Japo dhalimu alilizimisha kutangazwa kwa kura 12m+, wakati wapiga kura hawakufika hata 10m.
Ila Chadema mtashiriki uchaguzi? Ingekuwa vema chama kisuse sio wapigakura..
 
Ila Chadema mtashiriki uchaguzi? Ingekuwa vema chama kisuse sio wapigakura..

Mimi sio msemaji wa chama, niko upande wa wapiga kura wanaojitambua. Ww kakishauri hicho chama cha cdm kisishiriki.
 
Uchaguzi wa 2025 utakuwa ni wa pekee sana na unaweza kuandika historia mpya kabisa katika Nchi hii.

Muda huu ninapoandika ujumbe huu, tayari kuna wafanyabiashara zaidi ya 6 hapa mtaani wamekabwa na kuporwa fedha na vitu vingine ndani ya Wiki moja.

Ikumbukwe kwamba, mambo haya ya ukabaji yalikuwepo kabla ya JPM. Alipoingia tu madarakani JPM, VIBAKA, WEZI, WATEKAJI MAGARI NA WEZI WA MABENKI waliyeyuka ghafla.

Sasa Nchi imekuwa shamba la Bibi.
Tena Bibi mzaa Bibi.
May God Bless Tanzania.
 
Mimi sio msemaji wa chama, niko upande wa wapiga kura wanaojitambua. Ww kakishauri hicho chama cha cdm kisishiriki.
Sasa wewe mpigakura kutopiga kurs itazuia serikali kuundwa?
 
Sasa wewe mpigakura kutopiga kurs itazuia serikali kuundwa?

Hata wanaopindua nchi huwa wanaunda serikali. Hapa tunazungumzia uhalali wa serikali. Wao kama serikali wanataka waungwe mkono na watu wengi, ukiwa madarakani huku unajua fika hakuna watu wengi walikupigia kura unajua kabisa hukubaliki. Ni sawa uandae sherehe kubwa na vyakula vitamu kisha watu wasijitokeze, sio kwamba sherehe itasimama, lakini itakuwa hailipi.
 
Back
Top Bottom