Mara: Boss wa TARURA ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauji ya mke wake


Kutapeliwa kupo na unaweza tapelika vizuri tu hata kama ulijiandaa vipi. Unafanya nini baada ya kujua umetapeliwa? Ndo tunapotofautiana hapo. Mwingine atapotezea mwingine atakuua kikatili sana.
 
Huyo mhandisi mpaka kafika kuwa senior ni mtu mzima sana ambao zamani walifocus sana na kusoma hakua na muda na mapenzi huenda huyo ndo manzi yake wa kwanza ko kuachana kulimtesa sana
Uko sahihi......wanaume tunaofanikiwa kwa kuhustle sana. Wanawake wanatuchukulia poa sana.
 
Hata mim nina wasiwasi,watu wameachana wana miaka mitano afu leo ndo aamue kumuua

Tatizo lililopelekea mhandisi kukamatwa ni mawasiliano na huyo mama,
 
Ni upuuzi ni ujinga ni ushamba ni usenge unaachana na demu au mke aliyekuwa wako na bado unamfuatilia
Fungua ukurasa mpya na usonge mbele pamoja na kuwa bado watakuumiza wengi ila ipo siku utakutana na wako nawe utafurahia maisha hadi ujute muda uliopoteza kwa mwanamke kahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…