MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

Tuko busy na kufanya uchaguzi badala ya maendeleo halafu tunasema tunataka kujenga uchumi kama wa Singapore? Never will this happen in our liofe time akili zetu tunazijua wenyewe
 
Kwani kwa watumishi wa umma hakuna bajeti yake,mbona hakuna nyongeza wala kupanda madaraja.
jingalao hauko sawa.
 
Hoja inapate nguvu wakati wabunge wa upinzani wanapukutika tu
Chadema ndio imekufa kanda ya ziwa kwa ubinafsi wa Mbowe,.Bado huyo wa ukerewe anasubiri msiba uishe,chadema kinakua officially chama cha kikanda
Ukiambiwa wewe ni mpumbavu uso utakuparama kama uji wa limao... jitafakari na ujitazame kama hayo unayoyashabikia yana tija.
 
Amebadili jezi tu kutoka mfuko wa cement kwenda matembele
Anarudishwa tena serengeti anapita bila kupingwa anarudi tena dodoma
Ukisusa unawapa hafueni mahasimu wako wanajua wanarudi tena bungeni kwa kishindo bila jasho kama waitara
 
Ukiwaona watoto wa masikini waliokosa mikopo unaweza inamisha kichwa chini kwa fedheha!Huku mabilioni yanaenda kurudia uchaguzi kisa kuunga mkono juhudi,pathetic!
 
Huyu alimwita Mkurugenzi ambaye ndiye msimamizi wa uchaguzi kuwa ni mwizi; sasa mkurugenzi akiamua kusimamia uchaguzi kwa haki si ndiyo historia yake inaishia hapo?
 
Kwani kwa watumishi wa umma hakuna bajeti yake,mbona hakuna nyongeza wala kupanda madaraja.
Wewe hauko sawa.
Demokrasia ni gharama mkuu na fedha za uchaguzi zina bajeti yake.
 
Chadema hebu undeni tume huru ya ndani mpate chanzo halisi ya hali hii.

Hata kama wananunuliwa bado tatizo litabaki kwenye udhaifu wa chama. Kama mnanunulika kiasi hiki mnafikiri inaleta tafsiri gani? Hii inazidi kujenga taswira mbaya kwa wapinzani na msifikiri watakaochafuka ni wale wanaonunulika tu. Imagine hadi sasa wanachama na wadau wa maendeleo ya Chadema hadi sasa hawajui kesho atafata nani!!

Ubaya wa CCM si habari mpya kwa watanzania. Ni wakati wa Chadema kujipambanua na kutafuta namna ya kuweka sawa huu upepo.
 
Nakazia
 
Wanachama wa chadema wamelishwa matango pori
Kama kila anaetoka chadema kwenda ccm kanunuliwa ,,
Badala ya kujadili hoja iliyombele yao
Mwenyekiti ataki kuhojiwa kuhusu matumizi ya pesa za ruzuku

Pesa za michango ya wabunge zinapelekwa wapi?

Pesa walizotoa wafadhili wa chama ziko wapi?

Ukihoji ilo ndani ya chadema umetengwa wewe ni msaliti

Mchaga ametamia pesa zote kama zake.
 
Yap. Hiyo itakuwa vizuri. Maana watu wameshaona ni kamchezo fulani hiv cha kujipatia pesa. Huku ni kuwatesa wananchi
 
Kweli hiii ni ujinga uliopitiliza,mtu unatukanwa alafu unaenda hukohuko!
 
Kwani kwa watumishi wa umma hakuna bajeti yake,mbona hakuna nyongeza wala kupanda madaraja.
Wewe hauko sawa.
Wakati wa kupitisha bajeti sikusikia mbunge wa Chadema akiomba bajeti ya NEC ipunguzwe ili kuongeza mshahara wa watumishi au sikusikia ruzuku ifutwe ili kuongeza mishahara.
Unafiki huu wa kuwakumbuka wafanyakazi unakuja nyakati hizi mnapoondokewa na wanachama?
 
Abraham Lincoln, Rais wa 16 wa Marekani, alisema Demokrasia ni serikali ya watu/ mfumo wa utawala wa watu, kwa ajili ya watu na unaotokana na watu. Watu wanaunda serikali.
 
Ameenda kuungana na fisadi ili waendeleze ufisadi. Ukimuuliza leo kuhusu ufisdi wa mkurugenzi, atakuambia mlimnukuu vibaya
Ndiyo wanasema: If you can't fight them, join them. Ameogopa dada zake kuolewa na mkurugenzi
 
Sio kila mtu ni mwanachama wa chama cha siasa,sasa chadema inaingiaje hapa.
Ongelea maslahi ya watumishi,je hakuna bajeti yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…