MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

Yaani wimbo wao ni ule ule na biti ni zile zile. Kila anayehama anahama na muziki huo huo. Hii ni awamu cha chaguzi ndogo. Hata hivyo ninamtakia mafanikio uko aendako, pamoja na ufanisi katika uteuzi atakaopata.
 
propanganda hii haitaisaidia ccm kusimama tena. Watanzania wameshakichoka.wanachokifanya ni kuwalazimisha wakipende kwa nguvu.wanatumia mageshi yetu kutisha watu
 
Jiheshimu Gents, wewe ni mtu nzima huwezi kujidhalilisha kwa matusi kiasi hiki.
Naona ' Gheto ' ambalo kila mara huwa unakuja na ' nakupanua ' hilo ' Nyabe ' lako huwezi kulisahau. Karibu tena na leo utanikuta!
 
Mkuu mbona unashangaa? Magufuli ni rais mzuri mno,hana kasoro yoyote ile,na Tanzania haitapata rais bora kama Magufuli,tangu aingie madarakani uchumi wa Tanzania umepaa kwa 45%,ajira zimeongezeka kwa 38%, Demokrasia imeshamiri,Uhuru wa vyombo vya Habari umekua,sasa kwa nini wapinzani wasimuunge mkono?
Napendekeza Magufuli atawale milele.
CCM HOYEEEEEEEE......!!!
Utanyooka tu! Anayefuata ni Mbunge wa Ukerewe si mmemtenga kwenye maafa ya MV Ukerewe?!!
 
propanganda hii haitaisaidia ccm kusimama tena. Watanzania wameshakichoka.wanachokifanya ni kuwalazimisha wakipende kwa nguvu.wanatumia mageshi yetu kutisha watu
Inaonekani wewe upo nje ya TZ. Hujui yanayoendelea mitaani ila unayajua ya mitandaoni.
 
Inagharama at the expense of leaving more.than 300 people dying in a sinking ferry for lack of modern rescue facilities.
Mkuu unajua maana ya democrasia? Democrasia ina gharama zake.
 
hivi hii nchi inatawaliwa na chama gan?? je usipomuunga huyo magu unamzuia nn kufanya.yaan wote sababu ni hiyo hiyo . kumtukuza mtu mmoja kama vile nchi ilisimama na sasa inatembea kwa uwepo wake. kwa lipi jipya,? ama kweli kuptwa kwa tanzania
 
Utanyooka tu! Anayefuata ni Mbunge wa Ukerewe si mmemtenga kwenye maafa ya MV Ukerewe?!!
hakili zingine! kwahiyo wale waliacha kuokoa watu waliohai wakasingizia giza walifanya jambo la maana?
 
Haya matukio yanaonesha wazi Wabunge na wapinzani kwa jumla ni watu wa aina gani.
 
We started this nonsense politics since time in memorial, under CCM regime yet we are nowhere, one of the poorest in the world.
umaskini si ndio unaondolewa kwa njia hizo??

unataka wagawe hela tu??

una ukoma?
 
Wapinzani badilini muelekeo wa siasa zenu bila hivyo CCM itatawala kipindi kirefu bila kushindwa.
 
"Dying without bitterness"

Sitoshangaa kusikia Mbowe amejitoa CDM kuunga juhudi za Rais.
KUHUSU MBOWE MTASUBIRI SANA SABABU SIO RAHISI
HAWA WABUNGE WALIORUDI UPANDE WA PILI UKICHUNGUZA UTAGUNDUA KIPATO CHAO NI CHA WASIWASI ILA WENYE UHAKIKA WA KIPATO MBALI NA UBUNGE WALA HAWAJAWEZA KURUBUNIWA.
 
Karibu kwenye chama cha manunuzi tupige kazi ya kuunga mikono ya jamaa.
 
Back
Top Bottom