...And yet we are one of poorest nations on planet earth.
BoorishUncouth
Naona ' Gheto ' ambalo kila mara huwa unakuja na ' nakupanua ' hilo ' Nyabe ' lako huwezi kulisahau. Karibu tena na leo utanikuta!
Utanyooka tu! Anayefuata ni Mbunge wa Ukerewe si mmemtenga kwenye maafa ya MV Ukerewe?!!Mkuu mbona unashangaa? Magufuli ni rais mzuri mno,hana kasoro yoyote ile,na Tanzania haitapata rais bora kama Magufuli,tangu aingie madarakani uchumi wa Tanzania umepaa kwa 45%,ajira zimeongezeka kwa 38%, Demokrasia imeshamiri,Uhuru wa vyombo vya Habari umekua,sasa kwa nini wapinzani wasimuunge mkono?
Napendekeza Magufuli atawale milele.
CCM HOYEEEEEEEE......!!!
Inaonekani wewe upo nje ya TZ. Hujui yanayoendelea mitaani ila unayajua ya mitandaoni.propanganda hii haitaisaidia ccm kusimama tena. Watanzania wameshakichoka.wanachokifanya ni kuwalazimisha wakipende kwa nguvu.wanatumia mageshi yetu kutisha watu
Mkuu unajua maana ya democrasia? Democrasia ina gharama zake.
hakili zingine! kwahiyo wale waliacha kuokoa watu waliohai wakasingizia giza walifanya jambo la maana?Utanyooka tu! Anayefuata ni Mbunge wa Ukerewe si mmemtenga kwenye maafa ya MV Ukerewe?!!
umaskini si ndio unaondolewa kwa njia hizo??
unataka wagawe hela tu??
una ukoma?
KUHUSU MBOWE MTASUBIRI SANA SABABU SIO RAHISI"Dying without bitterness"
Sitoshangaa kusikia Mbowe amejitoa CDM kuunga juhudi za Rais.
Huwa sijibu asshole!hakili zingine! kwahiyo wale waliacha kuokoa watu waliohai wakasingizia giza walifanya jambo la maana?