MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

viongozi wenzake Wabunge hufunga midomo
Viongozi wengine tena waandamizi wa chama hawajui wanyonge ni watu gani (mmoja wapo kaweka uzi kabisa jukwaani)...unategemea viongozi hawa wawe na maono kweli ya kumkomboa mtanzania kutoka kwenye lindi la umaskini!? Hapana. Labda nipate maelezo yakinifu wanamaanisha nini?
 
haa haa. naona tamko lake lile la serengeti akiwa na rais limetimia. je yule mkurugenzi ataendelea kumwita mwizi?
 
Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.

Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.

Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
Kwani Mbunge amekimbia kutoka Ccm?
 
Hivi kama akina Nyerere wangekufa kabla ya Tanzania kupata Uhuru..... hivi kweli hiki kizazi kingeweza kutuletea Uhuru ...!!?
 
Labda yeye ndio atapewa kanafasi hako akihama..Siasa ni game ya kustaajabisha hasa hapa Afrika, Dr Slaa ni Balozi,Mzee A.M Lyatonga yeye yupo na Parole,Sijui Prof Lipumba anasubiria nini? Yule mwingine wa ACT ni RC Kilimanjaro..ukitazama kwa umakini utajua kwa nini Mh Mbowe anaendelea kuwa Mwenyekiti..
 
Ile Mara ya watu NGANGARI wenye msimamo usioterereke naona imeisha mura.
Si ajabu tukaanza kusikia shoga chacha, shoga wambura nk.
Kiswahili cha mtu wa musoma sasa ni kero kuanzia ukonga mpaka serengeti.
Hovyooo
 
Mpaka hapa nawatamani Al Qaeda, ili wasaliti wote pamoja na wanaowarubuni walipuliwe. Hawa watu ni hatari sana kwa ustawi wa dunia hii.
 
Ile Mara ya watu NGANGARI wenye msimamo usioterereke naona imeisha mura.
Si ajabu tukaanza kusikia shoga chacha, shoga wambura nk.
Kiswahili cha mtu wa musoma sasa ni kero kuanzia ukonga mpaka serengeti.
Hovyooo
Mzee mbona unawashambulia Wakuria wakati haya mambo yanatokea Nchi nzima..Upepo ukivuma matete huinama lakini mpapai utakatika..acha watu wahame kilichobaki ni uwezo wa mtu kutambua nani anafaa katika jimbo 2020
 
Elimu bure, ujenzi wa SGR, miradi ya ujenzi wa vituo vya afya na uboreshaji wa hospital nchini, miradi ya upatikanaji wa maji kwa wananchi mjiji na vijijini, miradi ya usambazaji umeme Mjini na Vijijini, vita dhidi ya ufisadi, rushwa na dawa za kulevya, usimamizi wa nidhamu na uwajibikaji kwa watendaji na watumishi wa umma, uzalishaji umeme wa gharama nafuu nk
Elimu,Elimu Elimu.
 
Nchi za watu waliostaarabika mambo kama haya huwezi kuyasikia kabisa, haya ndiyo yanayofanya waafrika tuonekane watu wa karne ya 14.
 
NAWASHAURI SANA CCM ILI JAMII IWAELEWE WASIMPITISHE HUYU KUGOMBEA UBUNGE KATIKA HILO JIMBO
 
Siku ambayo hata wenye mamlaka watakuja kustuka jahazi litakua lishakita kwenye kina kirefu kilicho jaa matope.

Mtanzania mwenzangu huna wa kukutetea Tena Kila Alie na mamlaka anaangalia kesho yake atakula wapi...

Naunga mkono juhudi za muheshimiwa raisi 100% ila kama anajali Kodi zetu aliangalie hili tunafuja pesa sana.
NEC kwao ni furaha mwenye akili ananielewa.
 
2020 chama kitabaki na freeman aikaeli mbowe na familia yake tu walahi
Kwani hiyo ni hasara ya Mbowe??Watanzania bana subiri turudi kwenye chama kimoja kama unaona utapata heri yoyote.
 
NAWASHAURI SANA CCM ILI JAMII IWAELEWE WASIMPITISHE HUYU KUGOMBEA UBUNGE KATIKA HILO JIMBO
Mkuu watampitisha huyo huyo hayo ndio makubaliano ya manunuzi,CCM pamoja na kuwa na tume ya uchaguzi inayowabeba mchana kweupe,polisi,na usalama wa taifa lakini haijiamini kupambana na CDM kwenye sanduku la kura,vinginevyo nunua nunua isingekuwepo.
 
Hongera sana.Ateuliwe kugombea tena kwa tiketi ya CCM.
 
Back
Top Bottom