TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Viongozi wengine tena waandamizi wa chama hawajui wanyonge ni watu gani (mmoja wapo kaweka uzi kabisa jukwaani)...unategemea viongozi hawa wawe na maono kweli ya kumkomboa mtanzania kutoka kwenye lindi la umaskini!? Hapana. Labda nipate maelezo yakinifu wanamaanisha nini?viongozi wenzake Wabunge hufunga midomo
Kwani Mbunge amekimbia kutoka Ccm?Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.
Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.
Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
Hapana labda ushuruHivi kama akina Nyerere wangekufa kabla ya Tanzania kupata Uhuru..... hivi kweli hiki kizazi kingeweza kutuletea Uhuru ...!!?
Kila enzi na watu wakeHivi kama akina Nyerere wangekufa kabla ya Tanzania kupata Uhuru..... hivi kweli hiki kizazi kingeweza kutuletea Uhuru ...!!?
Mzee mbona unawashambulia Wakuria wakati haya mambo yanatokea Nchi nzima..Upepo ukivuma matete huinama lakini mpapai utakatika..acha watu wahame kilichobaki ni uwezo wa mtu kutambua nani anafaa katika jimbo 2020Ile Mara ya watu NGANGARI wenye msimamo usioterereke naona imeisha mura.
Si ajabu tukaanza kusikia shoga chacha, shoga wambura nk.
Kiswahili cha mtu wa musoma sasa ni kero kuanzia ukonga mpaka serengeti.
Hovyooo
Elimu,Elimu Elimu.Elimu bure, ujenzi wa SGR, miradi ya ujenzi wa vituo vya afya na uboreshaji wa hospital nchini, miradi ya upatikanaji wa maji kwa wananchi mjiji na vijijini, miradi ya usambazaji umeme Mjini na Vijijini, vita dhidi ya ufisadi, rushwa na dawa za kulevya, usimamizi wa nidhamu na uwajibikaji kwa watendaji na watumishi wa umma, uzalishaji umeme wa gharama nafuu nk
Kwani hiyo ni hasara ya Mbowe??Watanzania bana subiri turudi kwenye chama kimoja kama unaona utapata heri yoyote.2020 chama kitabaki na freeman aikaeli mbowe na familia yake tu walahi
Kwani hiyo ni hasara ya Mbowe??Watanzania bana subiri turudi kwenye chama kimoja kama unaona utapata heri yoyote.2020 chama kitabaki na freeman aikaeli mbowe na familia yake tu walahi
Mkuu watampitisha huyo huyo hayo ndio makubaliano ya manunuzi,CCM pamoja na kuwa na tume ya uchaguzi inayowabeba mchana kweupe,polisi,na usalama wa taifa lakini haijiamini kupambana na CDM kwenye sanduku la kura,vinginevyo nunua nunua isingekuwepo.NAWASHAURI SANA CCM ILI JAMII IWAELEWE WASIMPITISHE HUYU KUGOMBEA UBUNGE KATIKA HILO JIMBO