wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu..
Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote.
Mwanaume anavaa kikuku, wanawake wanamsifia kapendeza, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote
Mwanaume anapiga stori za kimbea na ile misisitizo ya "halooooo" , wanawake hawaoni kuna tatizo lolote
Mwanaume anavaa mavazi ya kike, wanawake wanampongeza kapendeza, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote
Wengi wasichokijua ni kwamba gays wengi marafiki zao ni wanawake, hawa wanawake wanawachukulia kama shosti zao, shida inakuja pale akianza kuja nyumbani, mtoto wa kiume anaanza kuona ni sawa kuiga namna anavyotembea, kucheza, kuongea, n.k. ni suala la muda tu !