Mara ya kwanza nakanyaga Kigoma na niliyoyaona huko

Mikoani kuna biashara zake za kufanya. Usikurupuke tu kisa ulikua unauza nguo Dar zinatoka uende na Simiyu ukiwa na matarajio yaleyale utakula chuma.

Mkoani ni sehemu unayotakiwa utumie akili sana kuliko hata Dar ndio upate hela.

Ndio maana ukienda Njombe hapo utakuta vijana wadogo tu wana pesa za kutosha na hawana maduka ya nguo wala vyombo.
 
Kitendo cha kuuliza kigoma kuna foleni inaonekana hata details ndogondogo za nchi yetu huzijui
 
Kabsaa uwe na hesabu Kamili ya nini ufanye lasivyo hata nauli utakosa ya kurudi ulipotoka
 
KIGOMA KUNA BAHARI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…