Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.
markup_1000013072.png
 
Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.View attachment 3045017
Hahahahahhahahhahaha, kitu kidogo sana hiki hata hakitumiii akili nyingi kukidadavuzi.

Najua ukiikata atalia sana ila kaa ukijua mwanamke hulia kuficha maovu na mwanaume hucheka kuficha machungu.

kwenye familia zenu kuna watoto wetu
 
Duuh wew ndio mwanaune wa kwanza duniani sperm zako znaweza kumove Kwa miaka 2 yaani toka 2022 had 2024 kwenye mrija wenye Urefu usiozidi hata 60cm

Kilichonihuzunisha zaidi ni wewe kuwa na stress daaah kweli nimeamini ule usemi unaosema
"UKIKOSA AKILI JITAHIDI KUWA NA AIBU MAANA UJINGA NA CONFIDENCE Huwa HAVIENDANI"
 
Back
Top Bottom