Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

Mwambie hivi kama amejazwa mimba na aliyemjaza amekataa atulie azae aanze kuuza uji barabarani alee mtoto.
Huo ni ushenzi.
 
Mwaka 2022 imekutana naye leo ni mwezi wa saba 2024 , mimba ina miezi 5 kimahesabu ya haraka imekutana naye mwezi wa 2 mwaka 2024...


Lakini 2024 kurudi 2022 ni miaka 2... Kwamba yai lako limekaa miaka 2 hadi ikafika mwezi wa 2 mwaka huu 2024 likatungishq mimba..

Au lilisubiri mrija uzibuliwe

Hata kimahesabu ya shule tu yale ya mimba ni miezi 9 huyajui..

Wafu kama hao futa namna yao mwambie aache ujinga.. kubambikizia mtoto sio wako na bado ni mapema..

Utakuja teseka baadae . Sana usikubali ushauri ooh lea tu sijui sio haramu mara atakuja kuwq Rais ni ujinga sana achana na hayo mambo..

Inaonekana kakuona upo sehem fulani rahisi yeye kupata msaada
 
Anakuambia walizibua mirija yaani sperms zako zilikuwa zimenasa ndo zikaingiq. 🤣🤣 na mimba juuu.

Hiyo nayo ni miujiza
Tangu 2022 hadi 2024 sperm zinasubiri mirija tu izibuliwe..,😁😁 kama mimba ina miezi 5 inqmqqn sperm zmekaa mwaka mmoja..

Kuna mambo mengine kwa mtu asiwe jizuiq na hasirq anaweza fanya mambo ya ajabu .. fikiria ndio mzazi mtoto wa kiume anakuambia mambo hayo kutoka kwa huyo mwanamke..
 
Back
Top Bottom