BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Hahahahahhahahhahaha, kitu kidogo sana hiki hata hakitumiii akili nyingi kukidadavuzi.Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.View attachment 3045017
Akili zako unazijua mwenyewe ujuee 😄😄!
Wanawake ndivyo mlivyo... HahahaAkili zako unazijua mwenyewe ujuee 😄😄!
Huyo mwanamke chengu kweli Yani hajui hata kudanganya kha!
Kweli kazi ipoKazii unayoView attachment 3045021
Ishini nasi kwa akili sana loWanawake ndivyo mlivyo... Hahaha