Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ila kuna wadada wengine ni smart kwenye uongo, yaani anakudanganya while wewe unajua ni uongo ila na wewe unajikuta unaupenda uongo wake hadi unakubali yani... sema huyo wako kidogo anaonekana hana uzoefu na mambo ya uzazi na usikute ni chitoto cha 2000.
 
Ni mtu mzima kanipiga gap mwaka
 
Ni mtu mzima kanipiga gap mwaka
Anhaa basi ndio maana anakuchukulia wewe mjukuu wake, kwamba anakumudu... ushauri wangu we msapoti tu kama unauwezo wa kumsapoti coz anaonekana amekwama kimahesabu na anaona wewe ndio mtu wa kumvusha kwenye hiko kipengele alicho nacho.

Mwambie awe open umpe kampan, si unajua dada zetu kuna wakati hesabu zao zinafeli then wanachekecha kuangalia yule aliye na character za NICE MAN kwenye orodha yao then wanadeal nae so hongera sana Mr nice man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…