π π π π π€£π€£π€£ cha elfu 2 na 9Ila kuna wadada wengine ni smart kwenye uongo, yaani anakudanganya while wewe unajua ni uongo ila na wewe unajikuta unaupenda uongo wake hadi unakubali yani... sema huyo wako kidogo anaonekana hana uzoefu na mambo ya uzazi na usikute ni chitoto cha 2000.
Hii ni point kubwa sana.Mwanamke anakutreat kulingana na akili zako.Jiangalie broππ
Wajinga ndio waliwao!Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.View attachment 3045017
Mbegu huishi si zaidi ya siku 5 kwenye mwili wa mwanamke. So za kwako ina maana ziliishi miezi saba zikisubiri azibuliwe ndipo zirutubishe yai.Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.View attachment 3045017
Hahaha... Ili tuishi na nyie vizuri, inatupasa wanaume tujifanye hatuna akili...Ishini nasi kwa akili sana lo
Tangu 2022 hadi 2024 sperm zinasubiri mirija tu izibuliwe..,ππ kama mimba ina miezi 5 inqmqqn sperm zmekaa mwaka mmoja..Anakuambia walizibua mirija yaani sperms zako zilikuwa zimenasa ndo zikaingiq. π€£π€£ na mimba juuu.
Hiyo nayo ni miujiza
Aisee iwekewe lamination kabisa ulichokisema na tena kigongewe muhuri wa moto
Ni kweli wewe boya!!Ngoja tuone miezi Tisa sio mingi