Mara ya mwisho ulilia lini? sababu gani ilipelekea ukalia?

Wiki iliyopita msiba wa mzazi mwenzangu!! Kusema kweli pamoja na madhaifu yake yote niliyoshindwa kuyavumilia ikapelekea kutalikiana ila niwe mkweli !! Namshukuru kuwa alinioa hakuwahi kunizini lakini pia amenipa watoto watatu wazuri mnoo Alhamdulilah ingawa mmoja ametangulia mbele ya hakii!! Hayo mambo mengine atajua yeye na Muumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…