secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Maneno ya mzee wala yasikupe stress sababu wewe ni mbugu yake.Miki mzee akipiga ni suala la maokoto sasa kuna mda kama sina kuna maneno anaweza kutoa yakakufanya week nzima upo unawaza tuu..
Sasa kumpigia ni sawa umejitafutia matatizo
Mkuu hvi wewe ushawahi kulalamikiwa na mzee.mpaka ukajihisi wewe nlumeletwa duniani kubeba mzigo wa familia nzimaManeno ya mzee wala yasikupe stress sababu wewe ni mbugu yake.
Hata akinilalamikia nitapuuzia kwa sababu yeye ni mzee.Mkuu hvi wewe ushawahi kulalamikiwa na mzee.mpaka ukajihisi wewe nlumeletwa duniani kubeba mzigo wa familia nzima
Sasa kupuuzia jau mkuu yule ni mzazi bora u mute tuuHata akinilalamikia nitapuuzia kwa sababu yeye ni mzee.
Sasa je....πππKilasiku hata mara Tatu had nne sometimes kitu kidogo anaruka hewani Kuna mda ubuyyu ubuyu lazimaππ
Lakini nitamfariji tu ila siwezi kuwa na stress.Sasa kupuuzia jau mkuu yule ni mzazi bora u mute tuu
ππKama hawapeani ubuyu na wazaziwao Bado sana waongeze umakini ππSasa je....πππ
YavuziDaaah aisee mi kila siku naongea na mama..
Kila siku napigiwa na mama asubhi.
Leo imefika saa tatu ajanitafuta nikawa sina amani mda si mda akanipigia....
Ila akiwa mbali na tanzania huwa inapita week siongei nae...
Mi mama akipiga utakuta ananiuliza mambo ya simu mara sijui wasp yake imefanyaje an hatareee tupu.ππKama hawapeani ubuyu na wazaziwao Bado sana waongeze umakini ππ
πππππ Daah mkuu jaribu kuwa mstaarabu basi..Haulizii Yavuzi Yavuzi ?
Yavuzi
Mimi Hadi vocha sometimes nampiga virungu anaweza akaukpigia anasema oya sogea pembeni kidogo kama umekaa na watu ujue hapa Kuna kakikao kidogo π€£π€£π€£Mi mama akipiga utakuta ananiuliza mambo ya simu mara sijui wasp yake imefanyaje an hatareee tupu.
Hapo ukimuuliza angalia salio una mb ngapi anakwambi zipo 53 yaani nachoka aiseee
Mkuu Jiunge na Group la WhatsApp kwa Ajili ya kupata pesa bila kuvuja jasho...Haulizii Yavuzi Yavuzi ?
Yavuzi
πππHaulizii Yavuzi Yavuzi ?
Yavuzi
Dah uko wapiKabisa , mama yangu ndio amefanya mpaka leo nawaheshimu wanawake wote hata kama amekula nauli na hakutokea, yani nikimkumbuka mama yangu nashindwa hata kumuumiza mwanamke yeyote kwa kumtafuna na kumwacha tu bila ndoa wanayotamani wengiπ€π€
πππππππππ Nyie mna hatareeeee yaani....Mimi Hadi vocha sometimes nampiga virungu anaweza akaukpigia anasema oya sogea pembeni kidogo kama umekaa na watu ujue hapa Kuna kakikao kidogo π€£π€£π€£
Washaanza hawa jamaa jau sana ujueπππ
Mdogowangu sometimes tunamkaanganvizuri tu Utaasikia yule mdogowako ana gubu achana nae asikuumize kichwa hiv havuti Bangi yule kweli ila mama πππππππππππππ Nyie mna hatareeeee yaani....
Sasa jichanganye uje zinguana na last born wake