Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

Mama wengine huwapigia simu watoto wao waliofanikiwa ili apate chochote kitu, kama hujafanikiwa kimaisha eti wewe ndo umpigie.

Jau kwelikweli yaani!
kawaida hiyo kwani mkono mtupu haulambwi...
ukiona kama hivyo basi ongeza spidi katika kazi ili utusue ,sio unakaa kizembe kizembe mjini .Kazi ni kipimo cha utu.
 
Mdogowangu sometimes tunamkaanganvizuri tu Utaasikia yule mdogowako ana gubu achana nae asikuumize kichwa hiv havuti Bangi yule kweli ila mama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Et avuti bangi...
Kwa wa kike mpo wangapi kwani....
 
Au Sio ?
Unataka kunipiga kipindi mwanetu😁😁
 
Sasa niache pombe nahisi nimekuwa .
Nimefungua huu uzi na hapa niko bar eti nilivyo fala si nimeanza kulia eti nimemkumbuka mama yangu .

Kaja dada mmoja kaniuliza kaka unalia nini nikamueleza nimemkumbuka mama akanipa pole nyingi na akawa anaondoka kakutana na mhudumu mmoja nasikia anamwambia yule muhudumu kaka wa watu mmemlewesha mpaka kamkumbuka mama yake ni hapo nikagundua kweli nimelewa maana hata jana ningemkumbuka mama kwanini ni sasa na kwanini nilie πŸ€”

Keep resting sweet mom ,nakupenda sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daah mkuu jaribu kuwa mstaarabu basi..
Unaweza potea kusiko julikana kutokana na haya maneno yako kusema sema hovyo
Nilijaribu juzi kuyatamka haya maneno usiku pekee yangu nikajikuta naanza kucheka mwenyewe kila nikisema YAVUZ YAVUZ yaani nahisi kama natukana nikashindwa zoezi na nikitamka tu najikuta nachekelea mwenyewe
 
Jana gentleman,
alitembelea miongoni mwa mashamba yangu hapo nyumbani kijijini alikua akinipa feedback ya hali halisi ya mazao. Anapenda kilimo sana japo nimstaafu,

In fact,
ana endelea vizuri na as a leader nimembless sikukuu na kakitu tangu mapema sana πŸ’
 
Nilijaribu juzi kuyatamka haya maneno usiku pekee yangu nikajikuta naanza kucheka mwenyewe kila nikisema YAVUZ YAVUZ yaani nahisi kama natukana nikashindwa zoezi na nikitamka tu najikuta nachekelea mwenyewe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Mkuu huu ushuhuda wako umefany nicheke sana hapa nilipo..

Yaani nime imagine tuu mda huo unajariby YAVUZ YAKUZ

mara ngapi ulisema mkuu
 
Nzuri hii wengi huwa tunajifanya tupo bize ilhali ni upuuzi mtupuπŸ‘Ώ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Mkuu huu ushuhuda wako umefany nicheke sana hapa nilipo..

Yaani nime imagine tuu mda huo unajariby YAVUZ YAKUZ

mara ngapi ulisema mkuu
Nilisema mara mbili nikaanza kucheka ila nahisi na pombe zilichangia ngoja nitafute siku nikiwa nimefuria sina hela ya pombe niwe sijalewa nijaribu nikiwa serious nione nini kitanikuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…