Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

Nilisema mara mbili nikaanza kucheka ila nahisi na pombe zilichangia ngoja nitafute siku nikiwa nimefuria sina hela ya pombe niwe sijalewa nijaribu nikiwa serious nione nini kitanikuta
Mkuu natumai unaweza jikuta siku yako imebadilika aisee maana nayokutana nayo mimi mda huu ni zaidi ya bahati SIJUI...
Aiseee haya mambo yasikie tuu
 
Mkuu natumai unaweza jikuta siku yako imebadilika aisee maana nayokutana nayo mimi mda huu ni zaidi ya bahati SIJUI...
Aiseee haya mambo yasikie tuu
Natamani sana ndugu ila ndiyo vile hatma zetu zimeharibiwa na makundi rika.
Keep insisting me i will stand firmly once again .
Kwaheri ndugu kwasasa umetosha madonda yangu wacha niendelee na konyagi zangu kwanza
 
Ahahaha watu kama nyie mkikutana na janabi live live anawakata shingo 😂😂😂🙌🙌🙌
Siwezi gombana na kale kadude si nakasukuma na kidole cha mwisho kanaenda chini .

Haujaona kanavyomuangalia vibaya kapteni Troure kisa alikapa tano kwa nguvu kidogo kadondoke nasikia mara ya mwisho kalikula chungwa moja pale tabata kwa mkewe mama Asma 🤔
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mara ya mwisho alikula chungwa...
Oaaa weee tayari ushapiga tungi nini 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
Hayo mashamba ulipewa na ccm kwa uchawa
 
Ni kama wiki mbili HIVI zimepita tayarii
 
Hongera sana
 
POLE SANA MKUU WANGU

AENDELEE KUPUMZIKA
 
Haya wenye mama zenu ,
Wangu alifariki zamani nipo drs la 7 hata simu sina.
Aendelee kupumzika kwa amani mama yangu kipenzi.
Mara nyingi namkumbuka kwenye sala namuombea na pia namuomba na yeye awe ananilinda
Pole sana mkuu

Amepumzika tena kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…