ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
- Thread starter
-
- #21
MKUU naomba unifundishe namna ya kujikwamua na mimi nifanikiwe
Ata 100m cash sijawahi kushika mkuuπJE 100 M
Watu hatuna kazi ila tupo Hai, h n maajabu πBora anageuliza experience ya kuwa jobless tunasavaivu vipi tuseme ukweli π€
Ndo tutajuaje?Kuna watu wanamiliki hiyo 1 Bill.
na wako Jf.
sema hawana maneno mingii.
ππππimagine watu tuna zaidi ya miezi sita hata laki hatujashika alafu anasema habari za bilioniBora anageuliza experience ya kuwa jobless tunasavaivu vipi tuseme ukweli π€
No job no stress na huwazi wala niniπ€£Watu hatuna kazi ila tupo Hai, h n maajabu π
Upo sahihi mkuu. Kumbuka 1b ya kitanzania ni kama dola 400,000 tu. Wafanyabiashara wengi tu wadogo na wa kati wana zaidi ya hiyo hela.Kuna watu wanamiliki hiyo 1 Bill.
na wako Jf.
sema hawana maneno mingii.
Inaumiza sana! Huku ndani ni maharage tu kama tuko boarding mpaka yaote tumboniπ£ππππimagine watu tuna zaidi ya miezi sita hata laki hatujashika alafu anasema habari za bilioni
tufanye M 200 au M 100Milioni elfu moja mbali sana wakuu.
Hongera sana siku ukipata muda ninaomba utupitishe hatua za kuwekeza na ni mifuko ipi tuanze kwa kuchechemea hivyo hivyo ndugu
We si kada unakosaje hela ndogo kama hiyo.Milioni elfu moja mbali sana wakuu.
nimesika kama 24 M hivi kwa mara moja tena ilikuwa 23.5 MUnaweza kukuta mtoa mada hajawahi hata kumiliki milioni 10 yupo hapa anaulizia bilioni π
Kwamba Jf hawapo wanaomiliki 1B? Acha masihara basi kwani unawachukuliaje watu wa humu πHili swali kwa wanaJF n sawa na kuulizia bikra kwenye wodi ya wazazi π
watu wanazo sanaSijawahi hata kuziota wala kuziona hata kwa mbali achilia mbali kushika