Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

Hahaaa
Unanik7mbusha mwisho mwampamba na idriss sultan yaani km kweli walipewa zile hela na zimeisha huwa naamini upele humpata aso kucha
 
Amka kwenye hio ndoto
 
Nimesema wengi, sio wote. Wengine wanapenda kujionyesha, halafu unatakiwa kujua hii Jf watu wana maintain anonymity. Ukienda mitandao mingine mbona mambo yako wazi tu
Kivp ukiwa JF uwe unamaintan anonymity Afu Ukiwa pengine anajianika tuu, kipi nyuma ya pazia kwa JF ambayo haipo huko pengine?
 
😁😁 aisee
 
Kivp ukiwa JF uwe unamaintan anonymity Afu Ukiwa pengine anajianika tuu, kipi nyuma ya pazia kwa JF ambayo haipo huko pengine?
Anonymity ndio msingi wa Jf ndio maana wengi wetu tunatumia majina ambayo sio yetu. Kwenye mitandao mingine watu wanatumia mitandao kujijenga ndio maana wanaweka utambulisho wao, familia zao, biashara zao n.k
 
Duh! Ndege John haya ni matusi ya wazi kwa waTz, sababu hali zetu za ugali dagaa unazijua!
 
🙆
 
Pesa yangu kubwa kuimiliki ni laki 9 tena ya boom, nje na hapo huwa nahesabu tu za watu-Shule muda mwingine inatuchelewesha sana🥺🥺
 
Kweli
 
Ila wakuu mimi kuna mambo nimekuja kuyagundua:

1. Ifike mahali tutambue sio kila mtu atakua bilionea. Maisha hayako hivyo.

2. Huitaji kuwa bilionea ili uishi maisha mazuri. Kwa uchumi wa bongo hapa unaweza kuishi maisha mazuri tu kwa uchumi wa chini ya milioni 50 p.a.
 

Kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…