Mara yangu ya kwanza kukutana na malaika(1987)

Kwani unapiga "kijiti" cha wapi ndugu? Kwa kuwa ulikuwa arusha basi kitakuwa cha arusha, nakushauri acha kwani wendawazimu unakuandama!
 
Mkuu endelea na andiko nimesoma point zote...nataka nijifunza jinsi ya kupata nguvu mojawapo ya zilizopo..1.Uponyaji 2.Utabiri 3.Kupata chochote nachohitaj au mtu 4.Maono.
 
Mkuu endelea na andiko nimesoma point zote...nataka nijifunza jinsi ya kupata nguvu mojawapo ya zilizopo..1.Uponyaji 2.Utabiri 3.Kupata chochote nachohitaj au mtu 4.Maono.
Namba 3 it is almost impossible.
1. Unaweza ukaweza kuwa na nguvu ya uponyaji kwa magonjwa yanayotokana na spiritual problems.

2,4 Zinaendana. Unachotakiwa, funga kwa maombi na sala kwa muda wa siku zisizopungua tatu. Fanya chating kwenye mfungo wako. Baada ya hapo utakuwa mtu tofauti.
 
Ahsante mkuu naelewa kidogo,chating ni ni nini,?hizo siku 3 ni kavu,sababu nitakufa njaa nina matatizo kiafya?!
Je,muongozo wa maombi napataje,naanzaje na kumalizia na nn,mimi mkatoliki.
Natanguliza shukran,namaanisha.
 
Ahsante mkuu naelewa kidogo,chating ni ni nini,?hizo siku 3 ni kavu,sababu nitakufa njaa nina matatizo kiafya?!
Je,muongozo wa maombi napataje,naanzaje na kumalizia na nn,mimi mkatoliki.
Natanguliza shukran,namaanisha.
Oh pole sana.
Unaweza kuanza kwa kupunguza namna ya ulaji.
Unaweza. Lengo la kifunga ni kuufisha mwili ili uweze ku concetrate kwenyw roho. Utakapoudhoofisha mwili utapunguza matendo ya mwili ambayo yanatunyima kuwa na faragha kwenye roho.

Chanting:- ni kuongea maneno mafupi kwa kurudia rudia, au kuimba kwa kurudia rudia.
Mfano unaweza kusema:- "I CAN SEE" hii inaitwa kuingia spirituality by induction.

Maombi yenye nguvu ni matamshi ya maneno ya kitu unachokihitaji. Short and clear. Na unakuwa unarudia rudia.
Hili suala la kurudia rudia maana yake unaubia ubongo(akili) iweze concentrat na kitu unacho kitamka hatimaye nafsi itaanza kusikiliza kutoka katika ulimwengu wa roho kuliko kusikiliza kwenye ulimwengu wa mwili.

Hatimaye spiritual eyes will be open na utaanza kuona.
 
Waoh..I can see the "new me",Nimekua Na shauku ya kuzama kiroho over ages since my teenagehood,sikuwa napata mwongozo.
Swali la mwisho,naweza kula kidogo usiku tu kama kufungua swaumu?
 
Waoh..I can see the "new me",Nimekua Na shauku ya kuzama kiroho over ages since my teenagehood,sikuwa napata mwongozo.
Swali la mwisho,naweza kula kidogo usiku tu kama kufungua swaumu?
Kama nilivyosema. Hakuna utaratibu maalum wa kufunga. But lengo kuu la kufunga ni kuutesa mwili na kuunyima mahutaji yake ili upate muda wa kuzama katika ulimwengu wa roho.

Kitu kinacho tunyima kuingia katika ulimwengu wa roho ni thoughts. Kuanza kufikilia kila wakati mambo ya mwilini. But ukitenga muda na kuunyima mwili mahitaji yake utaanza kudhoofika na hatimaye akili zitaanza kuconcetrate na ulimwengu wa roho.
 
Hapa nimekuelewa mkuu..
 
Binafsi nina uelewa kidogo na mambo ya kiimani.
1- Hakuna Malaika asiyekuwa na asili, wote waliumbwa na Mwenyezi MUNGU, hivyo malaika kukujibu kuwa hajatokea popote hiyo ni sign ya msingi ya kukuonyesha una-interact na angel of darkness. Malaika daima humtukuza Mungu.
2. Ni MUNGU pekee ambaye hakuumbwa, na wala hakutokana na kitu chochote, hvyo huyo malaika logically anajikweza kwamba alijiumba mwenyewe na wala si matokeo ya mikono wala kazi ya MUNGU, na hvyo ana-nafasi sawa na MUNGU mwenyezi wa milele.
3-Malaika anaposema hakuna aliye mkuu katika ulimwengu zaidi ya mwanadamu mwenyewe, je, ipo sawa kwendana na neno la MUNGU? if not, malaika huyo atakuwa anakwenda kinyume na neno la MUNGU, and logically hawezi kuwa the angel of light rather a demon. Malaika wa mwanga hawezi kutenda kinyume na mapenzi ya mwenyezi MUNGU daima.
4- Ni andiko lipi linalosema kwamba tuzo la mwisho la wenye kumtii MUNGU ni kupata uhalisia wao zaidi ya kukutana na MUNGU uso kwa uso katika utukufu wake? where? This is a demonic teaching
NB.Kwa yeyote mwenye uelewa, hii ni satanic teaching, and nothing else. Kila jambo hupimwa kwa neno la MUNGU.
 
Azazel ni nani!? Kwa kuongeza maarifa soma The Book of Enoch.
🤣 🤣 🤣Like seriously??, logically unajua kwa nini kitabu cha enoch kiliondolewa kwenye biblia ya sasa? Otherwise bado utakuwa una safari ndefu sana kwenye mambo ya kiimani na ume-base kwenye imani ya kuokoteza.
 
Satanic teachings. Haihitaji nguvu nyingi kuweza kutambua ni mambo ya kishetani kwa mlango wa nyuma aliyoyaandika hapa jukwaani.
 
Kwa hiyo MUNGU wa kweli ni poweless kutibu magonjwa yasiyotokana na spiritual problems? MUNGU wa kweli asiyeweza kutibu ugonjwa wowote akitaka huyo siyo MUNGU bali ni devil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…