Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
UongoSheria za kumiliki silaha zipo wazi mkuu hakuna mahali zinahitaji uwe na ukwasi ili umiliki silaha
Mwanamke alitaka kupata exist plan mapemaDuh Kweka kaanika mambo ya familia yake kwa ulimwengu watoto wake watakuwa wananyooshewa mikono kila mahali, na hata nyumba aliyomuulia mkewe huenda watoto wakaogopa kuishi.
Shida ni watu kutoelewa, mwanaume alie kuoa unasemaje hajachangia chochote? Yani watu wanataka kuaminisha watu kua mwanaume hakua na mchango wiwote unaingia akilini hiyo?Majority ya wanawake hutaka umiliki wa mali za kwenye ndoa kwa 100% na kama mwanaume akiwa makini tokea siku za uchumba au mwanzoni mwa baada ya kufunga ndoa atalijua hili. Baada ya kujua hili mwanaume akiwa na hekima atajua namna ya kunavigate. Mwanamke anaamini kuwa wa kwanza kufa ni mume na hivyo bora achukue umiliki 100% mapema ili aenjoy yeye na watoto na mwanaume mwingine atakayeishi naye baada ya baba watoto kuwa ashakufa. Bahati mbaya wanaume wengi hujua ukweli huu wakiwa wamechelewa sana na hujikuta wanachukua maamuzi kwa hasira, hamaki, na matokeo ndiyo hayo ya kuua mtu. By the way kuna habari kuwa marehemu ameacha madeni na hata basi amekopea kwa kutumia dhamana ya asset za watu wengine. Yaan kwa kifupi ile ndoa iliyoonekana ina amani mafaninikio na mfano wa kuigwa ndiyo sasa ndiyo mambo yanaanza kuvuja.
Nimeipenda hiii comment mkuu, umeona mbali sana, huenda mwanzo alipata msela mwingine, ni jamaa yetu tu akaona wakose wote ila basi tu ajuae ni mungu tuNi mshenzi tu huyo jamaa...
Ni bwege na mshamba... uwezo wa kufikiri ni mdogo..
Siwezi kuua mtu kisa nyumba.. acha aichukue na amlete huyo mwanaume anayemtaka...
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa hauhusiki popote kufanya transfer ya umiliki wa kiwanja Wala kuandika mkataba wowote.Hakuna hati ya Kimora Dar es Salaam wewe.Kuna sehem utasikia alikua anatafuta mwenyekiti serikali za mitaa andike majina yake na watoto na yeye.
Exactly Boss.BK ndoa ipo hivi; wakati mpo kwenye ndoa manakuwa "blindfolded" hamna mawazo kama ipo siku mtatengena au kudhulumiana au kuanza kugombea mali. Utakuta mwanamke amekuta jamaa ana pagara, yeye akainua renta, akapiga bati. Mawazo ya yanakuwa ni chetu/chao. Kunakuwa hamna mawazo hayo ya kuanza kugombania vitu.
Sasa itakapofikia mapenzi yenu yameisha au kukaanza hila (kutoka upande wowote), ndipo kila mtu anaanza kuhesabu alifanya jini na alichangia nini na alitoa nini. 😊
Hapo ndipo kesi inapoanzia. Kisheria mwanaume akikuta una uwanja au hata nyumba na akashiriki kuiendeleza nyumba hiyo, hata kidogo basi nyumba ile inakuwa "matrimonial property".
Hivyo hivyo na mwanaume, mke akikuta una biashara au nyumba na akashiriki kuiendeleza kwa fedha/nguvu kazi basi mali hiyo anakuwa na uhusika nayo.
Kwa mazingira hayo; hiyo nyumba ya Kweka ilikuwa ni "matrimonial property" nyumba ya ndoa. Maana wote wawili wameishi hapo, wameendeleza nyumba. Hata kama mwanamke alikuwa anafagia na kupunguza majani. Hiyo ni nyumba ya ndoa, wote wanaimiriki kwa mazingira hayo.
Ambacho nimeshuhudia kwa wanawake wengi waliopenda, huwa hata kama pesa ni yake imetumika kununua kiwanja na kujenga huwa wanaacha umiliki usome kwa mwanaume kwa ajili ya kumpa heshima mwanaume.Maelezo ya chini ndio msingi wa hoja yangu, unless unawafahamu hao watu inperson sote tunafanya speculation.
Kwamba inawezekana hati ya kimila/barua ya mauziano ikawa na jina lako katika kutafuta hati ya nyumba (tukasajili hati kwa majina ya mkeo) Haya mambo yote yanawezekana, majibu yangu yanajibu swali lako kuwa ilikuwaje mwanzo majina ya huyo mke yasiwepo baadae ayatake yawepo ikiwa kiwanja kilikuwa chake/cha familia yake na si cha kweka?
Pili hamna popote ambapo nimekataa uhusika wa kweka katika hiyo nyumba, inawezekana wamejenga wote au hata amejenga mwenyewe kama baba wa familia na ndio ikajustify majina yake kuwepo katika hati. Entirely asingeweza kuweka majina yake kama mke amesimamia show 100% lakini hiyo haiondoi possibility kiwanja kilikuwa cha KE.
Na ndio maana watu wanasisitiza hapa kuwa ni mtego mbaya kujenga katika kiwanja cha KE. Au KE kujenga katika kiwanja cha ME (ambapo huwa haitokei mara nyingi)
Exactly Boss.
Mambo huwa yanaanza vizuri mara nyingi, Nia inakuwaga njema walau hata kwa mtu mmoja, ikiwa mwenzio ameficha nia yake huyu mwingine atajuaje sasa!
So yah labda watu wafundishwe kupiga hesabu za mbali ili tupunguze “kupoteza “
Hakuna justification yoyote ya kufanya alichofanya huyo jamaa, ametia aibu wanaume wote wa kichagga.Kuna mtu hajui MADHARA ya kesi ya kuua kwa mtu anae jitambua kama huyo? Hujaingia kwenye ndoa tulia kijana ulikua utaelewaa Kuna muda nisha wahi mpiga wangu lakini mi sio mtu wa kupiga wake ilinibidi TU nifanye hivo
Sheria inampa favors zote mwanamke, utashangaa sana.Pole kwa msiba.
SI walifunga ndoa ? , mkifunga ndoa mnakua mwili mmoja hayo mambo ya kiwanja cha mke nyumba ya mume yanatoka wapi?
Na mtu akikutishia kukuua ujue kuna siku atatimiza
Adhabu ya kuua makusudi ni kunyongwa hadi kufa.Amejisalimisha! Ila madhara ya kesi ya mauji hayajui!
Hapo hana tena nyumba,ni maskini kuliko wasio na nyumba,watoto ni yatima sasa! Akirudi kutoka magereza ni mwaka 2050 hana meno wala haoni
Mara nyingi sana haya mambo yanatokea tumeyashuhudia.Ambacho nimeshuhudia kwa wanawake wengi waliopenda, huwa hata kama pesa ni yake imetumika kununua kiwanja na kujenga huwa wanaacha umiliki usome kwa mwanaume kwa ajili ya kumpa heshima mwanaume.
Mapenzi yanapoisha ndio hapo mwanamke huanza kusema "kwanza hii nyumba nilijenga mimi"
Adhabu ya kuua makusudi ni kunyongwa
Mhhhh una mke? Maaana usikute unaongea nadharia.Wewe unadhani mwanamke anaweza kukurupuka tu kudai jina leke linandikwe kwenye hati ? Hilo ni jambo lisilowesekana asilani ,, mwanaume jipange jenga kisha oa uone kama mwanmke atataka jina lake liwekwe kwenye hati ya nyumba uliyojenga wewe ,, labda ingekuwa mwanamke jambazi amuue jamaa ili abaki na mali. Lakini kwa huyo dada mpaka kufikiria kutafuta mwana sheria na kutaka jina lake liwekwe kwenye hati 70% huenda hiyo ni mali yake kweli na jamaa akaona hataki kupoteza.
Bado hata kama mwanaune anamiliki mali na katafuta yeye kwa jasho lake bado kwenye ndoa hizo huhesabika za woteMara nyingi sana haya mambo yanatokea tumeyashuhudia.
Ndoa bana ingebaki kwenye uasili wake, mwanaume kuoa, kumiliki mali na kummiliki mke. (Shida ni wanaume hawaeleweki pia so wanawake nao wanajilinda kwa kutaka kumiliki)