Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

Ni Covid tu hapo.
Ajali ni kufunika kombe tu.
Mheshimiwa atakuwa alipata changamoto fulani ya upumuaji.
 
Ni Covid tu hapo.
Ajali ni kufunika kombe tu.
Mheshimiwa atakuwa alipata changamoto fulani ya upumuaji.
HATA KAMA UNA MATOPE KICHWANI MUWE MNAFIKIRI HATA KIDOGO SERIKALI ISEME NI AJALI WAKATI MTU HAJAPATA AJALI NDUGU WAPO WABUNGE WAPO JAMII ILIYOSHUHUDIA HIYO AJALI PALE NANENANE WOTE WAKUBALI UONGO UNAOUTAKA KWELI KAMA NI UJINGA USIJIANIKE KUTUDHIHIRISHIA UJINGA WAKO WAKO
 
Mimi sikuelewi unataka kusema nini mkuu!
.
Mambo mengine hebu tuwe tunajaribu kupuuzia tu jamani, sio kila jambo tulitafutie kasoro. Watu makini hawawi namna hii [emoji1666]
Utapuuziaje jambo kama hili?
Kama jambo ni dogo mbona hata vikao vyenu vya CCM vinavyoendele huko Dodoma vimeahilishwa?
 
Duh, pole yake. ila nadhani alikuwa anatafutwa siku nyingi, maana mwaka 2018 pia alishawahi kupata ajali akanusurika.
 
Kwenye nchi gani?
Hivi ikitokea Kiongozi Mkubwa kwenye Mhimili wa kutunga Sheria akadanganya Umma kwa lengo la kuficha au kupindisha ukweli adhabu yake ni nn Kisheria??
 
Ajali ya corona Mkuu, huoni jamaa kaikimbia Dodoma Mkuu? Anaogopa ajali ya kubamizwa BAAM!
 
Ajali ya kupumua
 
Samahani kidogo,hivi tulikuwa na uchaguzi uliotupa Raisi ?Mimi mpaka sasa sina Raisi wala mbunge.

Tukirudi kwenye mada, hii move wameicheza vibaya(wameiboronga).
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
 
Umeniamsha usingizi, maana nasoma tu amepata ajali ila sikumbuki kuona picha za hiyo ajali mahali, hapa kuna jambo.
 
Hili swali muulize Ndugai.
 
Unataka ndungai aseme nditie ameugua gafla amfurahishe mbowe na chama chake.

Umesahahu vita ya ndungai na mbowe last year.


Huu ni uongo wa mchana kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…