Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

Maelezo yako ktk aya ya kwanza ni mazuri. Reaction ya wengi hapa jukwaani inaonyesha hawana imani namamlaka iliyotoa taarifa ya ajali.
Hii inatokana na mamlaka hiyo na nyingine kuwa waongo waongo nakukosa uwajibikaji ktk masuala mbslmbali.
Mfano ni suala la covid19. Tunajua(by dimple reasoning) ugonjwa upo Tz. Lakini viongozi wetu wanatoa kauli zinazokinzana kuhusu hili janga. Serikali yetu haishirikiani na majirani kudhibiti ugonjwa huu, na hata inabeza hadharani juhudi za WHO.Utasikia 'Tanzania tumeishinda covid-19 kutokana na juhudi za mh. rais!' 'Tz hakuna corona', 'wananchi pigeni nyungu' nk.
Lakini watu wanaendelea kufa kwa dalili za corona, ila vyanzo/sababu halisi za vifo hazitajwi, mara pneumonia, mara changamoto za upumuaji.
Changamoto za upumuaji ndio ugonjwa gani?
Kwanini vipimo vya corona havifanywi? Kwanini takwimu hazitolewi kama nchi nyingine?
Ni wajinga sana hawa ambao hawana imani na mtoa taarifa
 
Kwa hiyo Balali ulimuona tupe picha yake ndiyo maana nasema ujinga muache maneno ya kwenye Kahawa unaleta kwenye mambo muhimu eleza vizuri Balali yuko kwako au?
Yako umeyatoa wapi? Fikiri kabla ya kubwabwaja. Mangwea alifia RSA maiti yake ikaletwa kuzikwa tz. Gavana wa BOT kafia USA kazikwa hukohuko. Hata mama hakumzika mwanae!
Aliyekuwa PM kwenye kampeni mchana kweupe anatamka kumfungulia Babu Seya, kuwaachia huru mashehe wa Uamsho na kumrejesha nyumbani Balali. Kama sina picha yake au sikumwona kwa macho ndio nakuwa mjinga au ndio uthibitisho wa kifo chake? Kwa nini hujionei huruma kwa kuamua kuidhihirishia dunia kuwa wewe ni fala tu fulani. Ukinyamaza hakuna atakayebaini kuwa weye mtupu kiwango cha taahira!
 
Haaaa... Yani spika adanganye kwamba alikufa kwa ajali?

Na nyie mnalazimisha hakufa kwa ajali ili awe amekufa kwa corona.?

Nikiita watu wapumbavu mods huwa wanakimbilia kitufe cha ban
Ewe baradhuli Spika wako alitangaza mbunge viti maalum(ccm) mh. dr. Lwakatare alikufa kwa ugonjwa gani? Kwa nini usifunge tu domo kusitiri utupu wa ubongo? Kama unao!
 
Mimi sikuelewi unataka kusema nini mkuu!
.
Mambo mengine hebu tuwe tunajaribu kupuuzia tu jamani, sio kila jambo tulitafutie kasoro. Watu makini hawawi namna hii [emoji1666]
Utapuuzia mangapi? Kila siku tunaonekana wajinga. Kila siku tupuuzie? Kama umekubali kufanywa mjinga ni ww peke yako.
 
Habari za jioni wakuu

Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali..

Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha ukweli?

Hivi inawezekanaje Mbunge na Naibu waziri wa zamani apate ajali alazwe siku mbili tena katikati ya jiji la Dodoma halafu habari zake zisisambae wakati RAS tu wa ARUSHA zilisambaa within a second

Mwenye angalau picha ya ajali yake aweke hapa.

Haiwezekani mtu mkubwa kama yule apate ajali halafu asiwepo wa kujua

Hii ajali ilitokea mwaka juzi wa 2018
 
Yaani hii nchi tuna viongozi wa ajabu haijawahi kutokea ..
 
Habari za jioni wakuu

Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali..

Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha ukweli?

Hivi inawezekanaje Mbunge na Naibu waziri wa zamani apate ajali alazwe siku mbili tena katikati ya jiji la Dodoma halafu habari zake zisisambae wakati RAS tu wa ARUSHA zilisambaa within a second

Mwenye angalau picha ya ajali yake aweke hapa.

Haiwezekani mtu mkubwa kama yule apate ajali halafu asiwepo wa kujua
Hio hapo juu ☝️☝️☝️ ni ajali ya MWAKA JUZI 2018. Huyu jamaa anapata ajali kila siku?
 
Duuu

Sasa tunalazimisha kila kifo ni kushindwa kupumua.

Tunahoji hadi ajali?
Tunapata faida gani tukisema tunakufa kwa Corona?

Kwani hamkusikia Magu? Kwamba waliopata chanjo ndio wameleta corona ya ajabuajabu? Na akasema hatafanya lockdown.

Mnataka awaambie mlale majumbani?
Wanachouliza wananchi ni wapi slipopatia ajali mh mbunge wao ?!. Mengine ya Maghufuli kasemaJe si mahali pake Englishlady
 
Ni wajinga sana hawa ambao hawana imani na mtoa taarifa
Ww ndio Lijinga kabisa. Hata ukipewa sumu ukaambiwa uinywe, utakunywa tu. Hauna thinking capacity kabisa. Halafu cha kuhuzunisha watu kama nyie mnajiona eti mnaongea points kweli na mna akili kweli. Very sad.
 
Mbona.kila siku mnaambiwa mchukue tahadhari corona ipo ivi kwann mnataka kila anaekufa kwakorona atangazwe mbona magonjwa mengine hamhoji kusema kweli watu wengi nchihii hatuna elimu hasa yaafya mliona taharuki yakipindi chakwanza watu tulivokuwa tunakimbiana jukumu lakujilinda nilakila mtu kama unataka kujifungia ndani wewejifungie tu hilitatizo nikubwa tunawezakuishi nao kama ukimwi chanjo zenyewe hazieleweki kwenye hili lakorona magufuri tumshukuru hakuna kitu kibaya kama hofu
 
Tatizo sio hilo, tatizo ni kudanganywa. Kwani kuna shida gani kusema korona ipo, lakini hatuweki takwimu za kila siku sababu zitawapa watu hofu kila siku?. Unaambiwa hakuna korona, wakati ipo. Unaambiwa hakuna mfumuko wa bei wakati upo. Na wengine wanaamini tu. Very sad
 
Habari za jioni wakuu

Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali..

Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha ukweli?

Hivi inawezekanaje Mbunge na Naibu waziri wa zamani apate ajali alazwe siku mbili tena katikati ya jiji la Dodoma halafu habari zake zisisambae wakati RAS tu wa ARUSHA zilisambaa within a second

Mwenye angalau picha ya ajali yake aweke hapa.

Haiwezekani mtu mkubwa kama yule apate ajali halafu asiwepo wa kujua
Job ndugai ni mashine ya kuchakata uongo
 
Back
Top Bottom