Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

Samahani kidogo,hivi tulikuwa na uchaguzi uliotupa Raisi ?Mimi mpaka sasa sina Raisi wala mbunge.

Tukirudi kwenye mada, hii move wameicheza vibaya(wameiboronga).
Kuna rais wa ccm na wabunge wa ccm
Wasio na haya kusema kuongo na ulaghai kila wanapojisikia.
 
Unakumbuka wakati ule Mh Chenge alipomgonga Mtu wa Bajaji usiku wa manane lkn muda ule ule habari ilifika humu Jamvini??
 
Ww ndio Lijinga kabisa. Hata ukipewa sumu ukaambiwa uinywe, utakunywa tu. Hauna thinking capacity kabisa. Halafu cha kuhuzunisha watu kama nyie mnajiona eti mnaongea points kweli na mna akili kweli. Very sad.
Sasa wewe hapo unajiona una lolote kweli?

Mbona ni mburura tu flani toka pale ufipa
 
Hivi ikitokea Kiongozi Mkubwa kwenye Mhimili wa kutunga Sheria akadanganya Umma kwa lengo la kuficha au kupindisha ukweli adhabu yake ni nn Kisheria??
Apigwe mawe hadi afe. Ndivyo vitabu vya kale vinavyosema
 
Kuna watu wamekuwa disappointed baada kusikia ni kifo cha ajali..........what a world we are living.......
Hebu mkuu nikuulize, kama una akili timamu unaweza kuamini kweli Mbunge na naibu waziri wa zamani anaweza kupata ajali katikati ya Dodoma na ni wakati bunge linaendelea kisha watu wasijue na hata wabunge wenzake na akalazwa siku mbili kimya?
Kama huna akili timamu unaweza kumuamini Ndugai katika hili
 
Mkuu,Ajali ziko nyingi,Hata matatizo ya kupumua ni ajali pia.Hivi yule Mzee kule Kimara aliyekuwa na binti wa kipare ilikuwa ajali ya nini?
 
Upo sahihi mkuu niliona yanavyobebwa ila sikujua ilo moja lilikua voxy pamoja na costa na gari ndogo iyo, pikipiki sikuiona nmesema kweli ajali ilitokea bado watu hawajaniamini bora na wewe umekuja kuthibitisha
 
Unakumbuka wakati ule Mh Chenge alipomgonga Mtu wa Bajaji usiku wa manane lkn muda ule ule habari ilifika humu Jamvini??
Ile kesi ya Chenge ilikuwa kubwa, walikufa watu wawili on the spot. Kuna watu wanapata shida hata wake zao hawajui, tusishangae sana.
 
Bogaz katika ubora
 
Maagizo yatakuponza acha upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…