Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

Samahani kidogo,hivi tulikuwa na uchaguzi uliotupa Raisi ?Mimi mpaka sasa sina Raisi wala mbunge.

Tukirudi kwenye mada, hii move wameicheza vibaya(wameiboronga).
Kuna rais wa ccm na wabunge wa ccm
Wasio na haya kusema kuongo na ulaghai kila wanapojisikia.
 
Kama imetokea mida ya usiku sio kitu cha ajabu watu kutojua. Unless kama alikuwa na gari yenye nembo lakini mawaziri hawana alama usoni kwamba ukimuona tu utamjua. Inawezekana kabisa watu walifika wakapeleka hospitali bila hata kujua ni nani.

Sema kiongozi kupata ajali halafu mpaka anafariki nchi haijui naona sio sawa.
Unakumbuka wakati ule Mh Chenge alipomgonga Mtu wa Bajaji usiku wa manane lkn muda ule ule habari ilifika humu Jamvini??
 
Ww ndio Lijinga kabisa. Hata ukipewa sumu ukaambiwa uinywe, utakunywa tu. Hauna thinking capacity kabisa. Halafu cha kuhuzunisha watu kama nyie mnajiona eti mnaongea points kweli na mna akili kweli. Very sad.
Sasa wewe hapo unajiona una lolote kweli?

Mbona ni mburura tu flani toka pale ufipa
 
Hivi ikitokea Kiongozi Mkubwa kwenye Mhimili wa kutunga Sheria akadanganya Umma kwa lengo la kuficha au kupindisha ukweli adhabu yake ni nn Kisheria??
Apigwe mawe hadi afe. Ndivyo vitabu vya kale vinavyosema
 
Kuna watu wamekuwa disappointed baada kusikia ni kifo cha ajali..........what a world we are living.......
Hebu mkuu nikuulize, kama una akili timamu unaweza kuamini kweli Mbunge na naibu waziri wa zamani anaweza kupata ajali katikati ya Dodoma na ni wakati bunge linaendelea kisha watu wasijue na hata wabunge wenzake na akalazwa siku mbili kimya?
Kama huna akili timamu unaweza kumuamini Ndugai katika hili
 
Haiwezekani kiongozi wa umma anapata ajali halafu wananchi hawapewi taarifa , hii nchi inao wenyewe ambao ni sisi wananchi , hapa ni lazima Spika Ndugai na wenzake watoe maelezo ya kutosha ili waeleweke , au la tuambiwe ajali ya Nditiye ni ya kuanguka bafuni ambako si rahisi watu kuona , lakini vinginevyo hakuna ajali yoyote ya barabarani ambayo ni ya siri .

Juzi Katibu Tawala wa Arusha amefariki kwa ajali lakini tumeonyeshwa hadi gari alilopata nalo ajali lilivyoharibika , na tukaelezwa alikuwa anatoka wapi na kuelekea wapi , huyu mnayetaka kuficha ajali yake ametenda kosa gani ?

Rais wa Tanzania Dr Magufuli aliwahi kusema kwamba Watanzania siyo Wajinga sana .

Tuambiwe ukweli ili tuelewe
Mkuu,Ajali ziko nyingi,Hata matatizo ya kupumua ni ajali pia.Hivi yule Mzee kule Kimara aliyekuwa na binti wa kipare ilikuwa ajali ya nini?
 
Ni Kweli Mh. Nditiye alipata Ajali Afajiri maeneo ya 88 Nzuguni. Ajali imehusisha gari 3 na Pikipiki moja. Inavyoonekana Audi ambayo Mh. Nditiye alikuwepo ilikuwa inageuza u turn, Coaster ikaigonga ubavuni, then Audi ikaenda kugonga Voxy na Pikipiki. Gari zote zilikuwa Cetral Police, ila nafikiri hawakujua mapema kwamba mwenye Audi Black ni Mh. Nditiye. Apumzike kwa amani.
Upo sahihi mkuu niliona yanavyobebwa ila sikujua ilo moja lilikua voxy pamoja na costa na gari ndogo iyo, pikipiki sikuiona nmesema kweli ajali ilitokea bado watu hawajaniamini bora na wewe umekuja kuthibitisha
 
Unakumbuka wakati ule Mh Chenge alipomgonga Mtu wa Bajaji usiku wa manane lkn muda ule ule habari ilifika humu Jamvini??
Ile kesi ya Chenge ilikuwa kubwa, walikufa watu wawili on the spot. Kuna watu wanapata shida hata wake zao hawajui, tusishangae sana.
 
Mbona.kila siku mnaambiwa mchukue tahadhari corona ipo ivi kwann mnataka kila anaekufa kwakorona atangazwe mbona magonjwa mengine hamhoji kusema kweli watu wengi nchihii hatuna elimu hasa yaafya mliona taharuki yakipindi chakwanza watu tulivokuwa tunakimbiana jukumu lakujilinda nilakila mtu kama unataka kujifungia ndani wewejifungie tu hilitatizo nikubwa tunawezakuishi nao kama ukimwi chanjo zenyewe hazieleweki kwenye hili lakorona magufuri tumshukuru hakuna kitu kibaya kama hofu
Bogaz katika ubora
 
Yako umeyatoa wapi? Fikiri kabla ya kubwabwaja. Mangwea alifia RSA maiti yake ikaletwa kuzikwa tz. Gavana wa BOT kafia USA kazikwa hukohuko. Hata mama hakumzika mwanae!
Aliyekuwa PM kwenye kampeni mchana kweupe anatamka kumfungulia Babu Seya, kuwaachia huru mashehe wa Uamsho na kumrejesha nyumbani Balali. Kama sina picha yake au sikumwona kwa macho ndio nakuwa mjinga au ndio uthibitisho wa kifo chake? Kwa nini hujionei huruma kwa kuamua kuidhihirishia dunia kuwa wewe ni fala tu fulani. Ukinyamaza hakuna atakayebaini kuwa weye mtupu kiwango cha taahira!
Maagizo yatakuponza acha upumbavu.
 
Back
Top Bottom