Marekani angeivamia Iran halafu asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo, halafu Urusi, China, nk ziipatie Iran silaha je, angetoboa?

Hivi Marekani angejichanganya leo akaamua kuivamia Iran kwa kuitumia ardhi ya Iraq lakini asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo kama alivyowekewa Urusi.

Halafu Iran isaidiwe silaha mfululizo na Urusi, China, India, na nchi zingine za kiarabu, je Marekani angestahimili kwa muda gani? Ujue kupigana ukiwa umewekewa vikwazo ni kama kupigana ukiwa umefungwa pingu!
Kuiwekea vikwazo marekani ni kuuweka uchumi wa dunia rehani
 
Mbona ziko nchi haziko NATO na zilipeleka silaha na Russia hajazigusa?

Russia alionesha uanamme Syria kwa kupeleka jeshi kamili na mpaka leo Assad yupo na miji imekombolewa. Kwanini US na NATO wasiende kumtetea mwanachama wao wa baadae waliyempa kichwa?Huwezi

Mantiki ya huu uzi nadhani wengi hamjaelewa. Hata tunaongelea Ceteris Paribus, kwa maana mpaka hao wakubwa wafikie kukuwekea vikwazo ni kwamba wana mbadala wa hicho wanachokipata kwako.

US na Europe walikubaliana kuweka vikwazo baada ya kujua watakabiliana vipi na kile ambacho Russia anaoffer kwao. Na ndio maana pia walikimbilia kuseize mali nyingi za matajiri wa Russia zilizopo sehemu mbalimbali ili pia waweze kufinance hiyo vita. Sasa kwa muktadha huu tuanze kuimagine (kama ambavyo mleta uzi ameweka nadharia) solutions zote za ambacho US anaoffer kwa dunia zikapatiwa substitute na mali zote za US na Mabilionea wake zilizoko duniani zikanyakuliwa then US akabaki na washirika wachache kama UK, Canada, Australia ambao pia wao watabaki kutoa tu matamko na sio kumsaidia direct, Je ataweza kupambana na kushinda vita mwenyewe??

Lakini pia, Je unadhani Dunia inamuhitaji zaidi US kuliko US anavyoihitaji Dunia??
Haya uliyoandika hapa juu,Practically hayawezekani kabsa. Watu wako kazini mchana na usiku, hadharani na kwa kificho hali ibaki kuwa kama ilivyo kwa sasa duniani. Ndo maana USSR haipo Tena duniani na haitakuwepo tena, Putin atabaki peke yake ukanda huo,ukiondoa Beralus ambaye anamsupport Putin kwa sababu binafsi za rais wa Beralus( lukashenko) ambaye anatawala kwa kutumia mkono wa chuma kwa msaada wa Urusi. Mambo ya ku assume vita kati ya Iran na Marekani na vikwazo dhidi ya Marekani ni matumizi mabovu ya rasilimali mda. Interest za Marekani Syria nitofauti kabsa naza Urusi Syria,japo wote vikosi vyao viko ndani ya ardhi ya Syria. Russia kapeleka hadi anti air craft ( s400/s300) kwa ajili ya kumlinda Assad na utawala wake lakin Marekani anasapoti wanamgambo wa milengo tofauti kwa kile anachokiita yeye vita dhidi ya makundi ya kigaidi(Isis na alqaida). NAKAZIA PALE SYRIA HAKUNA VITA KATI YA MAREKANI NA URUSI,KAMA ILIVYO UKRAINE AMBAPO HAKUNA VITA KATI YA URUSI NA NATO.
 
Tofautisha vita inayopiganwa Ukraine na vita ya kumeza bomu unavizia kwenda kujilipua. Kilichokuwa kinatokea Afghanistan siyo vita Kama inayoendelea Ukraine.
Vita ni vita , tena wale Taliban hata Ant tank hawana lakini miaka 20 yule US hakuna alichofanya
 
Wewe mwerevu sana, unafikiri huyo Marekani anaweza kuishi bila ya dunia?

Uzi unasema wazi ikitokea Marekani akapigwa vikwanzo ina maana wakubwa wa dunia walikaa chini wakajiuliza hayo yote uliyoyaandika na solutions zake ndio maana wakafikia hilo hitimisho. Sasa wewe mwerevu sana ina maana wewe una akili sana ya kujua vyote hivo kuliko hao superpower ambao wataamua kuweka hivyo vikwazo? Na hivyo vyote ulivyoeleza hapo kwani hakuna mbadala wake? Au ni Marekani pekee ndiye ana watu special wa kutengeneza hizo patents na wengine hawataweza?
Kama wana teknolojia si waunde vitu vipya vyenye uwezo zaidi na waache kuitegemea Marekani. Samsung ilianza 1938, unadhani hawajawahi kuwaza hivyo unavyoweza wewe leo? Tangu 1938 hawana mbadala wa hizo patents waje wazipate from nowhere leo 2022 kisa wamewekewa vikwazo unadhani ni rahisi. Umeshindwa kulima ukiwa na shibe, chakula kikiisha ndio unaanza kulima.

Watu gani duniani waliwahi kaa wakajadili kuitenga Marekani.
Marekani ndio nchi pekee iliwahi kopesha Ulaya kwenye vita ya pili ya dunia, na bado ikapeleka jeshi na wakashinda. Marshall Plan ya Marekani ilitoa mikopo kwa nchi za Ulaya kwenye vita ile mpaka mkopo wa mwisho Uingereza iliulipa mwaka 2006, vita iliisha 1945 ila muda wote huo Uingereza ilikuwa inalipa mkopo uliokuwa na riba ndogo sana sikumbuki kama ilikuwa inafika hata 5% na hawakulipa miaka miwili tu tangu waanze kulipa. Uingereza aachane na Marekani wa hivi aungane na China?

Huo ni mfano tu. China ana nini ambacho kuna mzungu atambabaikia! Au Russia ana nini cha ajabu, kwani gesi ndio anauza peke yake? Nchi kibao duniani zinaweza toa gesi badala ya Russia. Its just a matter of time wazungu wako busy kutafuta replacement. Netherlands, Finland, Poland wamekatiwa gesi na Russia wala hujasikia wamekufa au wameandamana.

Hakuna nchi za kukaa duniani eti zimuwekee vikwazo Marekani. Marekani yeye mwenyewe ndio anaweza wekea nchi vikwazo ikapata inflation ya 1,000%. Mkate wa elfu 2 ukauzwa milioni 2 ndani ya miaka miwili. China au Russia hazina hata uwezo wa kumwekea jirani vikwazo, wanachojua ni kususa kuuza gesi. Na wakisusa hata hizo nchi hazipati inflation wala ya 20%, hizo ndio nchi unasema ziiwekee vikwazo Marekani.

Kwanza haya tunayowaza leo wao wameyawaza miaka mingi na kwenye archives na libraries zao wameyahifadhi. UK ilishaacha ndoto za kuwa superpower wala kubishana na Marekani tangu 1956 kwenye Suez crisis. Wote hao Ufaransa, Ujerumani, Italy na kina nani wanajua sana umuhimu wa Marekani. China ni newcomer, kibongobongo tunasema "hana connection".

Na kitu kingine China hana mawazo kabisa ya kuitenga Ulaya au Marekani. Uchumi wake unawategemea hao kuliko hata majirani ambao wote wana ugomvi naye kasoro Urusi tu ambao migogoro yao waliimaliza 2008.

Tunaisema Marekani ambayo Chairman wa Federal Reserve Bwana Jerome Power na Secretary of Treasury nadhani alikuwa huyu huyu Liz Trus walipendekeza na bunge likaidhinisha kutoa dola trilioni 2 mwaka juzi ili kupunguza madhara ya COVID-19 kwa Wamarekani, raia walipewa hela direct yani kila mtu Marekani inajua anapata kiasi gani kwa mwaka na kwenye shida walijua kila anayestahili apewe kiasi gani. Leo hii eti marais hawa wanaoenda kwenye birthday party za bongofleva waiwekee vikwazo Marekani?

Hiyo $2 trillion inaizidi hata bajeti ya Russia. Russia hii ambayo kiuchumi inazidiwa na California jimbo moja pale Marekani. Sasa inaanzaje kuiwekea vikwazo Marekani au ikiitenga inaathirika na nini
 
Says T Armata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Warusi janjajanja tangu nione roll up ya hii MBT ilikuwa 2015. Hadi leo wanaleta matamko, on ground kifaru hamna bado wanatest sijui mpaka lini
 
Vita ni vita , tena wale Taliban hata Ant tank hawana lakini miaka 20 yule US hakuna alichofanya
Marekani iliipiga Taliban na kuiondoa madarakani. Rais akawa Hamid Karzai tangu 2001 mpaka 2014, akaja huyu Ashraf Ghani aliyekimbia. Marekani hakuenda kutawala Afghanistan, alienda kuwaondoa Taliban jambo ambalo alifanya muda uleule.

Over 20 years wamekuwa wakijilipua na sio kazi ya Marekani kuwafanya wasijilipue. Marekani kafanya training, katoa silaha na kuondoka Afghanistan. Alienda kupigana na Taliban ambao aliwaondoa madarakani miaka zaidi ya 20 iliyopita. Angebaki zaidi kwani kwake pale. Au ni lini walitakiwa waondoke, mwaka 2050 au?
 
Waka wa ondoa madarakani sio Afghastan ndio maana wakaendelea kutawala kule Kandahar , harakati zote zilikuwa zinaanzia Kandahar na kutapakaa sehemu nyingine za Afghastan, US alishindwa kuwadhibiti ndio maana akakimbia kama kafumaniwa, huku watu wakidandia ndege kama panya , hao wataliban hawana chochote zaidi ya Rifle,AK 47 na mabomu ya kawaida, siku US akikutana na nchi yenye teknolojia kidogo tu baasi shughuli yake inaishia hapo, halafu una uliza angebaki mpaka lini? Kwani kule Korea kusini ana mda gani toka amekwenda kumsaidia?
 
Haya uliyoandika hapa juu,Practically hayawezekani kabsa. Watu wako kazini mchana na usiku, hadharani na kwa kificho hali ibaki kuwa kama ilivyo kwa sasa duniani. Ndo maana USSR haipo Tena duniani na haitakuwepo tena, Putin atabaki peke yake ukanda huo,ukiondoa Beralus ambaye anamsupport Putin kwa sababu binafsi za rais wa Beralus( lukashenko) ambaye anatawala kwa kutumia mkono wa chuma kwa msaada wa Urusi. Mambo ya ku assume vita kati ya Iran na Marekani na vikwazo dhidi ya Marekani ni matumizi mabovu ya rasilimali mda. Interest za Marekani Syria nitofauti kabsa naza Urusi Syria,japo wote vikosi vyao viko ndani ya ardhi ya Syria. Russia kapeleka hadi anti air craft ( s400/s300) kwa ajili ya kumlinda Assad na utawala wake lakin Marekani anasapoti wanamgambo wa milengo tofauti kwa kile anachokiita yeye vita dhidi ya makundi ya kigaidi(Isis na alqaida). NAKAZIA PALE SYRIA HAKUNA VITA KATI YA MAREKANI NA URUSI,KAMA ILIVYO UKRAINE AMBAPO HAKUNA VITA KATI YA URUSI NA NATO.
Sawa mkuu
 
Kama wana teknolojia si waunde vitu vipya vyenye uwezo zaidi na waache kuitegemea Marekani. Samsung ilianza 1938, unadhani hawajawahi kuwaza hivyo unavyoweza wewe leo? Tangu 1938 hawana mbadala wa hizo patents waje wazipate from nowhere leo 2022 kisa wamewekewa vikwazo unadhani ni rahisi. Umeshindwa kulima ukiwa na shibe, chakula kikiisha ndio unaanza kulima.

Watu gani duniani waliwahi kaa wakajadili kuitenga Marekani.
Marekani ndio nchi pekee iliwahi kopesha Ulaya kwenye vita ya pili ya dunia, na bado ikapeleka jeshi na wakashinda. Marshall Plan ya Marekani ilitoa mikopo kwa nchi za Ulaya kwenye vita ile mpaka mkopo wa mwisho Uingereza iliulipa mwaka 2006, vita iliisha 1945 ila muda wote huo Uingereza ilikuwa inalipa mkopo uliokuwa na riba ndogo sana sikumbuki kama ilikuwa inafika hata 5% na hawakulipa miaka miwili tu tangu waanze kulipa. Uingereza aachane na Marekani wa hivi aungane na China?

Huo ni mfano tu. China ana nini ambacho kuna mzungu atambabaikia! Au Russia ana nini cha ajabu, kwani gesi ndio anauza peke yake? Nchi kibao duniani zinaweza toa gesi badala ya Russia. Its just a matter of time wazungu wako busy kutafuta replacement. Netherlands, Finland, Poland wamekatiwa gesi na Russia wala hujasikia wamekufa au wameandamana.

Hakuna nchi za kukaa duniani eti zimuwekee vikwazo Marekani. Marekani yeye mwenyewe ndio anaweza wekea nchi vikwazo ikapata inflation ya 1,000%. Mkate wa elfu 2 ukauzwa milioni 2 ndani ya miaka miwili. China au Russia hazina hata uwezo wa kumwekea jirani vikwazo, wanachojua ni kususa kuuza gesi. Na wakisusa hata hizo nchi hazipati inflation wala ya 20%, hizo ndio nchi unasema ziiwekee vikwazo Marekani.

Kwanza haya tunayowaza leo wao wameyawaza miaka mingi na kwenye archives na libraries zao wameyahifadhi. UK ilishaacha ndoto za kuwa superpower wala kubishana na Marekani tangu 1956 kwenye Suez crisis. Wote hao Ufaransa, Ujerumani, Italy na kina nani wanajua sana umuhimu wa Marekani. China ni newcomer, kibongobongo tunasema "hana connection".

Na kitu kingine China hana mawazo kabisa ya kuitenga Ulaya au Marekani. Uchumi wake unawategemea hao kuliko hata majirani ambao wote wana ugomvi naye kasoro Urusi tu ambao migogoro yao waliimaliza 2008.

Tunaisema Marekani ambayo Chairman wa Federal Reserve Bwana Jerome Power na Secretary of Treasury nadhani alikuwa huyu huyu Liz Trus walipendekeza na bunge likaidhinisha kutoa dola trilioni 2 mwaka juzi ili kupunguza madhara ya COVID-19 kwa Wamarekani, raia walipewa hela direct yani kila mtu Marekani inajua anapata kiasi gani kwa mwaka na kwenye shida walijua kila anayestahili apewe kiasi gani. Leo hii eti marais hawa wanaoenda kwenye birthday party za bongofleva waiwekee vikwazo Marekani?

Hiyo $2 trillion inaizidi hata bajeti ya Russia. Russia hii ambayo kiuchumi inazidiwa na California jimbo moja pale Marekani. Sasa inaanzaje kuiwekea vikwazo Marekani au ikiitenga inaathirika na nini
Sawa mkuu
 
Bado awajaijua USA vizuri ,kiufupi USA ndio baba wa tech duniani
Kila nchi ina teknolojia yake, na nchi nyingi teknolojia zao wamezifanya kuwa siri kubwa sana na ndio maana kabla ya kuanzishwa kwa mzozo wowote nchi zenye nguvu huanza kwa kupitia footage za kijasusi juu ya uwezo wa kijeshi na Ukubwa wa kiteknolojia wa mpinzani, inapotekea bado hujainua vizuri teknolojia ya mpinzani ndo pale unaona US anaamua kukaushia kwanza
 
Huna akili ndio maana huwezi elewa. Jibu langu lote limejibu hiyo 'ikitokea' ila ng'ombe kama wewe hata kusoma hujui.

Umejiita Stephen Curry aliyepatia umaarufu Marekani, hujajiita Vladimir wala Jiang
[emoji2]
 
Hivi Marekani angejichanganya leo akaamua kuivamia Iran kwa kuitumia ardhi ya Iraq lakini asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo kama alivyowekewa Urusi.

Halafu Iran isaidiwe silaha mfululizo na Urusi, China, India, na nchi zingine za kiarabu, je Marekani angestahimili kwa muda gani? Ujue kupigana ukiwa umewekewa vikwazo ni kama kupigana ukiwa umefungwa pingu!
We una akili wewe ? , Nani mwenye ubavu wa kumuwekea vikwazo USA , msivyo na akili mnakula maharage mabichi mnakuja kujamba humu , bila Google , iOS , android na software za social networks mngekuwa humu ? , Pimbi kweli
 
Umechanganya!! Umoja wa mataifa hauhusiki katika kuiwekea vikwazo Urusi pia hautahuisika kuiwekea vikwazo marekani. Kwa hiyo michango yake UN ataendelea kupeleka! Dola za kazi gani, si makaratasi tu hayo? Akiwekewa vikwazo tunaachana na dola tunakubaliana kutumia kila nchi pesa yake! Wakimbizi wataendelea kuhudumiwa na UN maana yenyewe haitahusika.

Ukweli ni kwamba Marekani atapigwa ka mtoto mdogo!!
Makaratasi ya nioko , jibwa we ! , Hilo li Bibi lenu livaa ushungi kila siku linaenda kudanga huko linatafuta nini , idiot
 
We una akili wewe ? , Nani mwenye ubavu wa kumuwekea vikwazo USA , msivyo na akili mnakula maharage mabichi mnakuja kujamba humu , bila Google , iOS , android na software za social networks mngekuwa humu ? , Pimbi kweli
Kudadeki! Taratibu kaka...waeleweshe hawaelewi kabsa
 
Tofautisha vita inayopiganwa Ukraine na vita ya kumeza bomu unavizia kwenda kujilipua. Kilichokuwa kinatokea Afghanistan siyo vita Kama inayoendelea Ukraine.
Hawa watoto wang£s£ Sana , yaani guerilla insurgency Wana fananisha na full fledged military war , wapuuzi Sana , eti jitu linasimama libaropoka Marekani alipigwa Somalia na Afghanistan , pumbafu kabisa , yaani terrorism attacks za kuvizia ufananishe na vita , huyo Urusi Kule Afghanistan alifanywa nini na wake magaidi WA Taliban enzi izo wakiitwa Mujahedeens ?
 
Hlf anatibiwa kwa hisani ya watu wa marekani ila yupo humu kubwabwaja mineno , sisi ngoz nyeus ni watu wa kupoteza na kujutia
Dada zake wanazaa na kujifungua Kwa subsidies za USAID mbwa huyu , halafu utalikuta linabwabwaja , yaani majitu mapuuzi humu
 
Mimi nawashangaa sana watu humu ujue! Jamii forum ni kokolo tunatofautiana sana uelewa. HAIPO NCHI DUNIANI YA KUIWEKEA MAREKANI VIKWAZO. Teh teh teh kwamba " kwamba tunawawekea vikwazo hatutumii ndege zenu za Boeing"
Hiki kizazi cha BRN na DDD aka D tatu hiki ni mzigo Kwa taifa , zero kabisa
 
Dada zake wanazaa na kujifungua Kwa subsidies za USAID mbwa huyu , halafu utalikuta linabwabwaja , yaani majitu mapuuzi humu
Miradi yote ya kitaifa kupunguza maternal death( vifo vya kina mama vinavyotokana na uzazi), miradi ya kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto,miradi ya tohara za wanaume, dawa za kufubaza athari za ukimwi etc etc iko donated na USAID. Nani sasa anaanza kumuwekea vikwazo? Na hii mradi ni globally and particularly in Africa.
 
Back
Top Bottom