Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

my family and I, are praying for your quickly recovery on your injuries Mr.Donald Trump 🐒
 
Nyie ndio vishoiya sana

kwamba republicani ndio wana wa Mungu??

wote mashetani, na hakuna shetani mwema
Trump sio mpenda vita. wapenda vita ndio hao masheitwani wanywa damu za watu.

Trump kuitambua Yerusalemu kuwa mji mkuu wa Israeli ni jambo kubwa kiroho. Yerusalemu ya sasa ni mwakilishi wa Yerusalemu mpya
 
Kwenye siasa hakuna ukomavu wa demokrasia, ashindikana kwa hoja wakaona watumie nguvu.
Kuna kila namna Trump nguvu na ushawishi wake sio wa kawaida.
 
Ila akili za watu wengine bana!

Sasa ina maana hata Secret Service nao walihusuka katika igizo zima na hao waliokufa nao walikubali kufa kwenye hilo igizo?

Hizi social media zimeua kabisa akili za watu.
mkuu, nimecheka kwa sauti hapa nilipo.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Wewe inaonekana hauijui Marekani. Marekani sio Tanzania ambapo rais ndiye Mungu mtu hata akiamua kuuza mlima Kilimanjaro watu wote watashangilia na kumtungia nyimbo.

Marekani rais akienda kinyume na maslahi mapana ya nchi bunge zima (Congress) linakuwa kitu kimoja na linaweza kumuondoa madarakani mara moja.

Hivyo Tramp akiwa rais tena asifikiri ataweza kuigeuza Marekani farasi na yeye mwendeshaji, hilo halipo kwa taifa kubwa kama Marekani hilo ni kwa akina Tanzania, Russia nk.
 
Haya wale wafia Marekani. Mnaoonaga US ni kama pepo, watakatifu wale...demockrasia kwa 100%. Mnaona sasa...??Kama wanaweza kumtwanga risasi mgombea tena ex president, wanashindwa nini kuiba kura, kudanganya na kuingilia mifumo ya kuhesabu kura??? Evil is everywhere...
 
Poleni Sana wana Republican wa Tanganyika mambo yatakuwa sawa mzee wenu atarudi katika hali yake ya kawaida,huu sio muda wa kulaumiana au kubishana ni muda wa wamerakani wote kuungana kuwa kitu kimoja na kumuombea mgombea wenu....uchunguzi unaendelea vijana wa mzee Biden hawajahusika na tukio hili,Sisi kama youtube tunaomba radhi kwa kurusha Scene ya kumwaga damu mubashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…