BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Trump anapitia majaribu mengi kwa kweli. Ni kumuombea sana huyu mzee.
Acha dharuraTrump : Risasi zinapigwa kalala chini fasta.
Viongozi wa Africa: risasi zikipigwa wanaanza kutoka nduki, unaanza kuwapa kazi vijana wa usalama kukukimbiza. walivyo na vitambi sasa inakua tabu tupu.
Sasa mkuu? Hio ndio fact?
Wewe umefuata nini kwenye huu uzi? mlioko TZ si ndo mlikuwa mnalilia unga wa ngano toka ukraine?je ukraine iliwatambua? kujua yanayotokea nchi nyingine ni muhimu sana.Mpo bize sana na nchi isiyowatambua, wao hawana time na sisi, marekani weusi wameuawa huko kwao ila mmpo tu nyuma yao kuwasapoti kwa maujinga yao.
Yaani Biden ana hali mbaya kiasi hiki ?.....basi Kamala Harris apeperushe bendera tu ili kuiokoa democrats....Kingine why Trump afanye igizo wakati Biden hakubaliki? Hata Trump asipofanya kampeni kuna mtu mwenye akili timamu anaweza mchagua Biden?
Mbona lisu hamkumpa kura za huruma
USSR
Hata mi naona Trump aendelee na urais, USA wengi wamekuwa vichaa ndio maana siku zinavyokwenda USA kiushawishi inashuka, yani watu wanataka kusikia upuuzi wa transgender na ushoga, mambo ya ajabu ajabu.Nilikua simpendi Trump nikimuona kama mbaguzi sana.
Ila nilipomwelewa nikagundua huyu ni mimi mtupu, mtu flani asiependa Unafki
Mtu flani asie ogopa mtu, Raha sana ukiwa na Pesa na Unajiamini.
Hata mimi nimemshangaa kweli huyu BlackPantherWewe umefuata nini kwenye huu uzi? mlioko TZ si ndo mlikuwa mnalilia unga wa ngano toka ukraine?je ukraine iliwatambua? kujua yanayotokea nchi nyingine ni muhimu sana.
Trump bado hajawa RaisUrais ni taasisi hapo ndo panapoleta shida!
Trump ana misimamo yake ambayo taasisi nayo ina misimamo yake! Basi tabu tupu Trump anaonekana hafai mana sio Puppet
wamarekani bhana sasa huyo dogo sikio unapiga risasi c angetumia tu wembeDonald Trump kakimbizwa hospitali baada ya kupigwa risasi ya sikio akiwa kwenye mkutano wa kampeni.
Chanzo Sky News.
Nasikia wanampigia chapuo Michelle ObamaYaani Biden ana hali mbaya kiasi hiki ?.....basi Kamala Harris apeperushe bendera tu ila kuiokoa democrats....
ikatokea Trump akawa raisi, basi huku kwetu Lisu 2025,ccm wafungasheMimi nilishasema kwamba chama cha Democrat hakina tofauti kabisa na CCM!
Hao Democrats walianza na kujaribu kutaka kumwengua Trump kwenye baadhi ya majimbo. Hiyo ikashindikana.
Wakambambikia makesi kibao. Hiyo nayo haijaenda kama walivyotarajia.
Sasa wanatumia risasi. Kwa bahati nzuri, hiyo nayo haijafanikiwa.
Sasa nambie, hizo figisu zao zina tofauti gani na figisu za CCM?
And he is going to milk it like a Wisconsin cow!
Sawa mchambuzi wa kibongo unayeijua Fbi na CIA kuliko wamarekani wenyeweFBI na CIA ni puppets WA deep state , unafikiri kwa nini walishindwa hata kudisclose kifo cha JFK mpaka leo ?
na yale maneno yao mara mtu asiyejulikana,oh mara uchunguzi unaendelea yaani taabu tupuHao askari wapo makini sana, professional, skilled.
kuna yule muuaji Dar aliitwa Hamza, askari wa Tz walichokifanya pale kinatia huruma, yani muuaji huyu hapa na hapa jamaa wanamkosa risasi.
Sasa angalia hao secret service walivyofanya kazi chap sana, ingekua bongo hapo askari wangerusha mabomu ya machozi, mara field force wanaingia kuanza kutandika virungu watu, basi ingekua ni tafrani tu na muuaji anatokomea, mnaanza kupigwa search mlangoni ole wako ukutwe na kipisi cha bangi π€£ utaelezea...
ikatokea Trump akawa