Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Trump na Dunia Wana uhakika kwamba Baiden atashindwa vibaya sana. Haya maigizo ya hatari yalitaka nini??

Hii ndo tabu ya mashushu wa Buza Kwa Rulenge!!

Tukio la USA limebebwa na mbumbumbu wa bongo!! Subirini majibu ya wenye akili
 

Niliwaambia watu waweke akiba ya maneno! siasa za Marekani si za kudandia
Watu waliosema ni 'Left' kwa maana ya Democrats nyuso zao ziko wapi asubuhi hii

Shooter anaitwa Thomas Matthew Crooks, ni Mzungu na 'registered Republicans''
Amechangia Kikundi cha Progressive cha Democrats Dollar 15/=

Hakuna anayejua motive yake hadi sasa lakini FBI nina uhakika watachimba na kujua.

Nasisitiza wekeni akiba ya maneno! msidandie treni kwa mbele. USA siasa zake ni habari nyingine
 
Wewe umezijuaje hizo siri??
 
Ni vigumu sana kwa Republican kushinda kwa silent majority. Majority ya Wamarekani ni Democrats, kinachowasaidia zaidi Republicans ni electoral college.
Bill Clinton aliwaonya ''silent majority' kwamba demography ya US inabadilika kwa kasi
Dems wanashinda kwa popular vote lakini wanaweza kushinndwa kwa eletoral college.

GOP wana tatizo kwamba wamejiegemeza kwa '' silent majority' hawajali mabadiliko ya ''Demography''

Black Vote na Latino zina nguvu sana na hizo zinabadili hata eletoral college kidogo kidogo.
Kwa mfano, Georgia na Colorado zinakuwa '' battle ground' wakati zilikuwa ni Republican damu!

Tatizo la Dem hasa kipindi hiki ni mgombea Biden. Tangu anatangaza nilishangaa sana
Ni Mzee Sana na hana uwezo wa siasa za leo. Waliomlinda ni akina Jimmy Clyburn.
Biden hana mvuto kabisa, debate iliyopita alishindwa kwasababu hana uwezo '' mental acuity'
 
Mkuu Nyani Ngabu ikitokea trump ameshinda uchaguzi katiba yao inaruhusu angombee tena ? baada ya kipindi cha kwanza cha miaka minne ?
 
Wazazi wake ni Democrats!

Angalia political donations zake halafu uje hapa ali donate wapi!

Kwamba yeye ni registered Republican, that doesn’t mean shit.

Inawezekana kabisa alijiandikisha hivyo ili aweze kupiga kura kwenye Republican primary na apige kura dhidi ya Trump!
 
Sahihi, ni political gamble kubwa sana kwa Democrats kumpa Biden nafasi ya kugombea kipindi hiki. Inaweza kugeuka miscalculation itakayowagharimu vibaya.
 
Wazazi wake ni Democrats!
Haijathibitika ni habari za FOX, lakini pia ikiwa Wazazi ni Dems, ni lazima huyo kijana awe hivyo?
Angalia political donations zake halafu uje hapa ali donate wapi!
Ametoa dollar 15/= kwa progressive dems. Kuna nyingine?
Kwamba yeye ni registered Republican, that doesn’t mean shit.
Hili si la maana lakini la wazazi wake kuwa dems ni la maana. Hivi leo angekuwa registered dems ungesema nini
Inawezekana kabisa alijiandikisha hivyo ili aweze kupiga kura kwenye Republican primary na apige kura dhidi ya Trump!
Possibly na inawezekana alikuwa 'Republican kiulweli' hatuna details
Ndio maana naisisitiza watu wavute pumzi! FBI wanafanya kazi
 
Kwa hiyo ya wazazi wake kuwa ni Democrats haijathibitika ila yeye kuwa registered Republican imethibitika? 🤣🤣

Talking points za MSNBC hizo and you’re nothing but a shill 🤣.
 
Vipi kama ni far rights Republicans aina ya Alex Jones au waliokuwa brainwashed naye wanaotamani civil war ?
Your browser is not able to display this video.
 
Ni vigumu sana kwa Republican kushinda kwa silent majority. Majority ya Wamarekani ni Democrats, kinachowasaidia zaidi Republicans ni electoral college.
Sio kweli, mbona polls zinasuggest otherwise. Pia ni uongo kusema Democrats ni wengi kisa electoral college mbona Congress ipo dominated na republicans
 
Kwa hiyo ya wazazi wake kuwa ni Democrats haijathibitika ila yeye kuwa registered Republican imethibitika? 🤣🤣

Talking points za MSNBC hizo and you’re nothing but a shill 🤣.

Nilichosema tangu jana ni kwamba '' watu wavute pumzi'' wasifanye conclusion bila kujua motive ya shooter

Nikatoa mfano wa Tom Mcveigh na Oklahama Bombing. Ronald Regan etc
Hata Boston Marathon watu walisema ni ' magaidi' wa middle east!

Ninachokataa ni ''conclusion' zisizo na ushahidi kwavile tu Tucker kasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…