Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Muda mrefu wametuaminisha kuwa wao wamestaarabika, wanaendesha siasa za maridhiano nk.
Sasa wamechukua njia za bara la giza kushambulia wapinzani.
Ni aibu kwa nchi kama Marekani.
 
Ingetokea africa lawama kwa chama tawala zingetoka kila kona
 
Your browser is not able to display this video.





Trump, ambaye ni mgombea urais mtarajiwa kwa tikiti ya chama cha Republikan, alionekana akinyoosha mkono wa kulia kuelekea shingoni mwake kabla ya shambulizi hilo kutokea.

Kulionekana kuwa na damu usoni mwake, hususan karibu na sikio la upande wa kulia.

Trump tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais wa Marekani na hivi karibuni alifanya mdahalo na Rais wa sasa Joe Biden, mdahalo ambao Wachambuzi wengi wamesema haukwenda sawa kwa upande wa Biden kwakuwa alizidiwa uwezo wa kujieleza na kujibu maswali na Trump.
 
Unahakikishaje hii ni kazi ya chama na si ya watu tu ambao hawampendi?

Wanasema aliyempiga risasi ni Antifa.
 
Sio kwamba ni mashoga na wapenda vita ambao wanaona trump anahatarisha ajenda zao
 
That is USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…